Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,797
48,770
Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran.
Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna.....

Ifahamike siku Iran watafikia kuwa na uwezo wa silaha za nyuklia, Israel watakua hatarini sana maana hao Iran wanaweza kutumia fursa hiyo kuifuta Israel kama ambavyo uislamu unawafundisha hayo maugaidi na chuki.

==========================================

ISRAEL is preparing to strike Iranian nuclear plants if faced with a revenge attack for the death of a top Tehran commander last week.

Netanyahu's war cabinet has been locked in crunch meetings over fears that Iran will launch an assault as Middle East tensions threaten to boil over into all-out war.

Iran has a spate of dangerous nuclear sites - including power plants, uranium mines and research reactors, pictured: Isfahan power plant
8
Iran has a spate of dangerous nuclear sites - including power plants, uranium mines and research reactors, pictured: Isfahan power plantCredit: AFP
Iran's embassy building in Damascus after the strike last Monday
8
Iran's embassy building in Damascus after the strike last MondayCredit: Rex
The targeting of Iran's nuclear sites with Israeli rockets could fuel chances of a global conflict

Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei looks over the coffins of the seven IRGC officers killed in the strike after vowing revenge

Israel's plans come after Iran threatened to retaliate and bragged about its weapons

Now a Western security official has revealed that Israel will respond to any attacks by striking Iran's nuclear targets directly.

Israeli forces have been conducting air force drills in preparation for the dangerous escalation, Elaph News reports.

Iran is home to several nuclear sites - including power plants, uranium mines and research reactors.

A targeted attack against one of them could mark an unprecedented escalation in the melting pot of Middle East conflict.

READ MORE WORLD NEWS​

ac-07_04-iran-missile-comp_66fbcf.jpg

IN RANGE

Iran unveils missiles that can hit Israel & vows Netanyahu will ‘regret’ strike

DD-israel_COMP_0f9d3d.png

REVOLT LOOMS

Netanyahu's ministers threaten MUTINY after troops pulled from south Gaza

Tehran's embassy in Syrian capital Damascus was destroyed in a suspected Israeli strike last Monday - killing several top brass commanders.

General Mohammad Reza Zahedi died alongside six senior members of Iran's twisted terrorist army, the Islamic Revolutionary Guards Corps.

Iran's formidable Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei quickly hit out with revenge threats and vowed to "defeat the Zionist regime".

Snarling Tehran President Ebrahim Rasi said Israel's alleged blast "will not go unanswered".
 
Israel hana ubavu wa kupigana na Iran , Kaa ukijua Israel anapigana akisaidiwa na some Euro countries pamoja na U.S
 
Hamas na Hezbollah wanawatoa kamasi mpaka keshokutwa. Wanaongelea nuclear wamechanganyikiwa hao 🤣

HAMAS ni magaidi wa uislamu wenu ambao wamejificha nyuma ya watoto na kina mama, hamna namna rahisi ya kuwapiga bila kufagia vitoto vyenu, ambapo inasababisha dunia ipige makelele sana.
Mumepigwa kwenye ubalozi, jibuni kama kweli nyie mnamtegemea huyo akbar akbar wenu....hehehee
 
Hao mnaosema wameishindwa Hamas, KwAni mnataka wananchi wote wauliwe hapo Palestine?

Hata hivyo huruma kweni ni ziro kabisa, yaani hamasi wanavyozikana mamia kwa maelfu bado mnasema hakujafanyika chochote? Hovyo kabisa

Hiyo ni mwanzo tu kwa Hamasi, risasi, mabomu na mizinga itaelekezwa kwa hasira zote pale kwa baba ya waarabu! IRAN
 
Hamas na Hezbollah wanawatoa kamasi mpaka keshokutwa. Wanaongelea nuclear wamechanganyikiwa hao
Hamas na hezbolah hawa wanaojificha kwenye maeneo ya raia na kuwatumia watoto na wanawake kama ngao ili dunia iwaonee huruma na ipige kelele kuhusu israel eti inafanya mauaji ya kimbari kamasi gani israel inatolewa wakati dunia nzima inawalilia wapalestina wanapukutishwa kama kuku wa mdondo
 
Sasa hawa wameaishindwa Hamas wataweza jeshi kubwa kama Iran?

Wakipiga vinu vya Nuclear Iran anatandika Dimona, Na Viasset vyote vya Israel huko Tel Aviv kuanzia viwanda vya High tech mpaka military runaway zote.

Halafu baada ya hapo tuone nani anaweza kusimama kidedea
Halafu Israel nukes Tehran na miji mingine mikubwa kupitia SLBM.

Halafu baada ya hapo tuone nani anaweza kusimama kidedea :)
 
Mbona wana hangaika sana ? Wao si wamekwisha piga mabomu balozi watulie sasa mbona wana kiwewe toka wamepiga balozi.

Iran yeye katulia ila wao wanaweweseka🤡
 
Sasa hawa wameaishindwa Hamas wataweza jeshi kubwa kama Iran?

Wakipiga vinu vya Nuclear Iran anatandika Dimona, Na Viasset vyote vya Israel huko Tel Aviv kuanzia viwanda vya High tech mpaka military runaway zote.

Halafu baada ya hapo tuone nani anaweza kusimama kidedea
Iran hiihii au kuna Iran nyingine?
 
Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran.
Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna.....

Ifahamike siku Iran watafikia kuwa na uwezo wa silaha za nyuklia, Israel watakua hatarini sana maana hao Iran wanaweza kutumia fursa hiyo kuifuta Israel kama ambavyo uislamu unawafundisha hayo maugaidi na chuki.

==========================================

ISRAEL is preparing to strike Iranian nuclear plants if faced with a revenge attack for the death of a top Tehran commander last week.

Netanyahu's war cabinet has been locked in crunch meetings over fears that Iran will launch an assault as Middle East tensions threaten to boil over into all-out war.

Iran has a spate of dangerous nuclear sites - including power plants, uranium mines and research reactors, pictured: Isfahan power plant
8
Iran has a spate of dangerous nuclear sites - including power plants, uranium mines and research reactors, pictured: Isfahan power plantCredit: AFP
Iran's embassy building in Damascus after the strike last Monday's embassy building in Damascus after the strike last Monday
8
Iran's embassy building in Damascus after the strike last MondayCredit: Rex
The targeting of Iran's nuclear sites with Israeli rockets could fuel chances of a global conflict's nuclear sites with Israeli rockets could fuel chances of a global conflict
8
The targeting of Iran's nuclear sites with Israeli rockets could fuel chances of a global conflict
Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei looks over the coffins of the seven IRGC officers killed in the strike after vowing revenge's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei looks over the coffins of the seven IRGC officers killed in the strike after vowing revenge
8
Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei looks over the coffins of the seven IRGC officers killed in the strike after vowing revenge
Israel's plans come after Iran threatened to retaliate and bragged about its weapons's plans come after Iran threatened to retaliate and bragged about its weapons
Israel's plans come after Iran threatened to retaliate and bragged about its weapons
Now a Western security official has revealed that Israel will respond to any attacks by striking Iran's nuclear targets directly.

Israeli forces have been conducting air force drills in preparation for the dangerous escalation, Elaph News reports.

Iran is home to several nuclear sites - including power plants, uranium mines and research reactors.

A targeted attack against one of them could mark an unprecedented escalation in the melting pot of Middle East conflict.

READ MORE WORLD NEWS​

ac-07_04-iran-missile-comp_66fbcf.jpg

IN RANGE

Iran unveils missiles that can hit Israel & vows Netanyahu will ‘regret’ strike

DD-israel_COMP_0f9d3d.png

REVOLT LOOMS

Netanyahu's ministers threaten MUTINY after troops pulled from south Gaza

Tehran's embassy in Syrian capital Damascus was destroyed in a suspected Israeli strike last Monday - killing several top brass commanders.

General Mohammad Reza Zahedi died alongside six senior members of Iran's twisted terrorist army, the Islamic Revolutionary Guards Corps.

Iran's formidable Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei quickly hit out with revenge threats and vowed to "defeat the Zionist regime".

Snarling Tehran President Ebrahim Rasi said Israel's alleged blast "will not go unanswered".

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1777916988670546175?t=ISovZTG3ocGwotLKHBvwxw&s=19
 
HAMAS ni magaidi wa uislamu wenu ambao wamejificha nyuma ya watoto na kina mama, hamna namna rahisi ya kuwapiga bila kufagia vitoto vyenu, ambapo inasababisha dunia ipige makelele sana.
Mumepigwa kwenye ubalozi, jibuni kama kweli nyie mnamtegemea huyo akbar akbar wenu....hehehee
Nonsense. Unampangia mtu namna ya kukupiga 🤣.
 
Hamas na hezbolah hawa wanaojificha kwenye maeneo ya raia na kuwatumia watoto na wanawake kama ngao ili dunia iwaonee huruma na ipige kelele kuhusu israel eti inafanya mauaji ya kimbari kamasi gani israel inatolewa wakati dunia nzima inawalilia wapalestina wanapukutishwa kama kuku wa mdondo
Kama wanajificha mbona Israel inasema inawaua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom