Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

Dada yangu,wewe ukiangalia upo kwenye top of the food chain....hii ni Ponzi au Pyramid Scheme,aliepo mbele kwenye chain hatakaa aone tatizo..shida ni pale collapse ya mfumo mzima inapoanguka kwa one day....

Ni proven Pyramid Scheme mkuu.....Ufanyabiashara ni kujenga vitu au huduma na kuuza kutatua matatizo,huo ndio ujasiriamali...hizi technique za Ontario si sawa....Hua wanaanza kwa kuuza "Lifestyle" ya utajiri,anajijengea kua ana persona ya maisha mazuri mno,kuwavutia....Wote mnaoingia mpo nyuma yake kwenye food chain..

Ndio maana ma-role models wa bwana Ontario ni matapeli wa kutupwa wa Forex South Africa akina Ref Wayne mwenye kampuni yake ya Africa Forex Institute na sasa hivi amekuja na utapeli mwingine wa Pipcoin.....Huyu jamaa ni tapeli la kutupwa kabisa huko SA,kaiba hela ya Forex mno kwa kutumia hiyo scheme na wanachouza ni muonekano wa maisha mazuri na magari ya maana na kujijengea u-celebrity ili apate followers..Ref Wayne has been debunked over and over again kwa scheme yake (check hapa: Ontario hua anaenda SA kujifunza huu ufala ndio maana amejenga something like celeb status ili wapuuzi wamfate.

Ref Wayne is fake and Ontario is even fakier.

Na baada ya hii Forex watakuja na Ponzi Scheme ya bitcoin kama huyo Ref Wayne na Pipcoin yake....Just wait,when this Forex hotair is well exposed,Ontario and his goons will come up with some crazy bitcoin schemes.

Mimi kama mimi ndugu yangu wacha niendeleee kutapeliwa maana nina NYOTA ya kutapeliwa sana ya u walete hata Makinikiacoin sijui Ukawacoin me ntajiunga nikiona naweza kutapeliwa zaidi na zaidi halafy hii forex kwa mimi niliona before hapa Tz ilikua America kwahiyo wacha niendelee kutapeliwa tu hakuna namna na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hakuna sehem imesema huruhusiwi kutapeliwa na Forex kwahyo basi naona sijavunja sheria yoyote Na pesa nimepewa na baba angu na mama yangu nitatapeliwa mpaka siku dunia inafunga MT4 kua no lonher forex in the world baaasi. Toka saa saba usiku mpaka muda huu nimeisha watapeli mabroker kama $537. target ijumaa niwe nimewatapeli wao $3500 nataka kununua iMac sasa nimechoka macbook air,na iPhone X iko majini yakuja next wiki.
 
Wewe dada una vituko..Hizo hela unazokusanya ni za maskini Watanzania...Yaani huna tofauti na mwizi kabisa...

Hivi unaelewa kweli matatizo unayosababishia wanaopoteza hizo hela unazopata wewe?Hivi wewe ni mwanadamu kweli?

Aisee utakua na matatizo makubwa sana,au jamii yetu ya Kitanzania tutakua na matatizo beyond ourselves.
 
The Top 3 South Africa Scammers...Ref Wayne namba 2....Kwa Tanzania Ontario ataku namba 1 Scammer!:

SA's TOP 3 Fraudsters - ScamBroker

Mtaweweseka sana na Ontario,kwani akiwatapeli wewe kama wewe unashindwa lala kula au kunya Watz mna wivu sana kwa wenzenu wakibuni kitu me mnyarwanda lakin sie Tz tuna investment kubwa lakini watz wameshindwa kutwa kutuonea dongo kuwakomesha tumewatoa kwenye ajira waswahili tumeweka watu wetu basi wanatamani kupasuka Watz tembeeni muone mna maisha magumu sana kisa ujuaji Fx me nafanya jus kutaka kujifunza zaid na zaidi namna nyingine ya kupata pesa. Sio kila siku ufanye kaz za white collar we umekaa hapa kusearch google hao watu una njaa mwili mzima.
 
Haya kila la kheri!

Ukienda hapo Jangid naamini utamkuta huyo Bi sekretari hapo

TMT baby

30b8374d6477af81d8bd8b4cad2b10e4.jpg
hahaaa duuhhh bongo nyoso mkuu upo America lakini kama upo bongo hiyo pictr umeitoa wapi duhhhh
 
Wewe dada una vituko..Hizo hela unazokusanya ni za maskini Watanzania...Yaani huna tofauti na mwizi kabisa...

Hivi unaelewa kweli matatizo unayosababishia wanaopoteza hizo hela unazopata wewe?Hivi wewe ni mwanadamu kweli?

Aisee utakua na matatizo makubwa sana,au jamii yetu ya Kitanzania tutakua na matatizo beyond ourselves.

Ndio maana kuna mwana bailojia alisema “struggle for existence” ubinadam peleka shirika la Human Rightwatch watz washamba sana nyie halafu kujifanya wajuaji kumbe elim yenyewe ya vitini ndio mana weng wenu hasa vijana ni wapumbavu wacha niendelee kutapeli kwa FX na kutapeliwa THANK YOU ONTARIO KULETA UTAPELI WA DIGITAL ambao tunatumia Computer na Sim kuchezea Japan Candle stick
 
hahaaa kumbe unajua mkuu
watu wanapigwa tu humu dadeq mpaka akiki ziwakae sawa
utajiri mchezo watu wanawatoa mpka ndugu zao mandondocha huko ili wapate kutamba mjini then nyinyi mnakuja kudanganywa na fx
Sasa mkuu unadhani niffah kapewa u sekretari bure pale TMT ... Hapa by any meanz the bold lazma atumie ujuzi wa kalamu yake kulinda kibarua cha mrs na atautumia ujuzi wake wote kuwahamasisha watu kuwa forex is a big deal ili kuvutia watu ili mrs aendelee kulinda ajira yake mkuu.....

Na mwisho wa story ya the bold itakuwa hivi forex is real....
 
Mtaweweseka sana na Ontario,kwani akiwatapeli wewe kama wewe unashindwa lala kula au kunya Watz mna wivu sana kwa wenzenu wakibuni kitu me mnyarwanda lakin sie Tz tuna investment kubwa lakini watz wameshindwa kutwa kutuonea dongo kuwakomesha tumewatoa kwenye ajira waswahili tumeweka watu wetu basi wanatamani kupasuka Watz tembeeni muone mna maisha magumu sana kisa ujuaji Fx me nafanya jus kutaka kujifunza zaid na zaidi namna nyingine ya kupata pesa. Sio kila siku ufanye kaz za white collar we umekaa hapa kusearch google hao watu una njaa mwili mzima.

Una matatizo wewe..ukiwa unaandika shirikisha ubongo...nani akuonee wivu wewe?Nakujua?Sikujui,wivu nikuonee wapi?Stop clowning..

Siwezi cheza michezo ya upatu...heri nitafute jembe nilime nivune kwa jasho langu niuze nipate kidogo hicho cha halali nile kwa amani...Unanishangaza hata hujui maana ya Pyramid Scheme,hujui athari yake,wewe unaona unapopata hizo hela hujui upande wa pili wanaozipoteza wakufaje...Marekani ukishikwa na Pyramid Scheme ni Life Imprisonment..sasa wewe mwehu hujui hata maana ya unachokifanya ndio maana huoni tatizo lolote..ignorance is a bliss.

Ontario nani amuonee wivu?Namjua?Ontario sio mfanyabiashara anaweza ni inspire,let us be clear with this.Kwenye list ya movers and shakers wa huu uchumi mbuzi wa Tanzania Ontario is nowhere to be seen hata ukitumia microscope.
 
Back
Top Bottom