Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

Naona kuna ukweli katika hili, mtoa mada kaeleza vizuri sana, FOREX haina utofauti na betting hivyo kama mtu anaweza ku bet hata forex pia anaweza akafanya ila tu atambue ni kamari kama kamari nyingine za kina bwin.com, bet365 na premierbet
 
Ni mawazo ya kutaka pesa kwa haraka na bila kutumia nguvu ya jasho lako, kuwa na tamaa inayotokana na Ufukara uliotopea.......Ndiyo maana sasa hivi wengi huko Mitaani wanabeti hadi wanawake na watoto...............Hatari sanaaaa......................!!!
 
Ulichokisoma ni dibaji tu kaka, hujaanza hata kusoma mwanzo wa story!
Uandishi wa The bold unafahamika, lazima akupeleke hadi mbeya ndio akurudishe ubungo kiakili kama ukiwa bright kichwani utaelewa ulipitishwa njia gani kufika mbeya. Pls tusiwe wepesi wa kufanya conclusion....
Mnaongea juu juu mtumwavyo na ubongo wenu kwa kuwa hamuujui ukweli, ukweli unakuja kaa chini uuelewe kaka!

Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza mkuu.
Those two mentors wamewezaje kutoa training mikoani kote ikiwa kitu ni scam?
Vyombo vyetu vya ulinzi wamehongwa kitu gani kubariki huu utapeli?

Hata huyo The bold amepewa au kuhaidiwa bei gani na ONTARIO?... unafahamu bold anakusanya bei gani kwa mwezi kwenye group la whatsapp? Unafahamu kazi yake nyingine mbali na uandishi?

Kama walikamatwa walitumia ndimi zipi kuwalainisha askari wetu hadi leo ofisi inarun?

Vibali walivipataje?

Yule mzee anaempigiaga bold simu kila usiku ni nani? Why kila kinachotrend nchini anategemea taarifa toka kwa The bold? Why kwenye hili hajamwamini zaidi Robert ila akasubiria kauli na maelezo ya bold?

Tuungane wote tusikilize hii issue then kila mwenye akili timamu atachuja pumba na mchele.

Kukaa kimya pia ni njia rahisi ya kujifunza, alafu tusilazimishe dhambi zingine ambazo hata shetani hahusiki nazo.

JohnsonM.

mkuu sijahalalisha dhambi yeyote isipokuwa wewe uliyejibu kwa niaba ya The Bold wakati yeye mwenyewe yuko humu pia naona unakuwa kama mpiga upatu wa hii kitu at the same Ontario na crue yake wote wako humu.
swali kwa nini wahusika wasijibu yale yanayoleta ukakasi kwa watu waliothubutu kuhoji? then wewe kuwa msemaji wao?
elewa kuuliza pia ni njia ya kupata informations and people are interested to have more forex information.
Pia The Bold aendelee kutafasiri makala mbalimbali na kutuletea na kuiacha TMT ijitangaze yenyewe
 
Mimi nitahudhuria training ili next time watu wakiwa wanabishana kwenye thread kama hizi nakuwa najua ukweli.
Maana hapa wanatuchanganya tu, wanao-trade wanajisifu kutengeneza millions kwa wiki wasio-trade wanaponda kuwa huu ni uongo.
Mkuu mimi sijawahi kushiriki biashara zingine za mtandaoni ila baada ya kusoma uzi wa forex nilishawishika kuingia. Namshukuru mkuu Ontario kwa kuleta hii fursa. Ukweli kuhusu forex binafsi nimepoteza hela sana. Lakini upande wa pili nimepata pesa kuliko niliyopoteza. Nilianza na dola 300 ndani ya muda mfupi nilifikisha dola 2700. Nikatoa dola 1000 baada ya hapo wimbi la kuunguza akaunti likaniandama. Sababu kubwa ya kuunguza akaunti mara kwa mara ni malengo makubwa niliyojiwekea ya kupata pesa nyingi ndani ya muda mfupi na hivyo kuvunja miiko na kanuni ya hii biashara. Sasa hivi nafanya trading kwa adabu zote nakuza akaunti kwa kupata faida kidogo au kama ni hasara basi hasara ndogo. Kikubwa na cha msingi napata faida zaidi kuliko hasara. Usione watu wapo kimya huku hawaji kutoa ushuhuda wao ni kwamba si kila mmoja ana moyo kama wa Ontario wa kukupa fursa, wameamua kula kimya kimya au wengine hawaoni watakachofaida kupoteza muda humu kutetea mada za forex badala ya kutumia huo muda kudownload money. Karibu sana ujifunze hii biashara uanze kutengeneza pesa.
 
iN short wewe ni Hater kuna watu wako wana fanya hii kitu wapo Kimyaa kwa kua hawaja amua tuu kuji tangaza ila kwa kua kijana ame waletea hii fursa mme shindwa kui fanya basi mnaona yey ni tapeli
Na ku ziirisha izo chuki zako uka enda mpaka kwenye Personal page yake ya insta kuchukua picha za miradi yake na kuja kuipost uku
huku wewe ukiwa katka Fake ID..

If you have Balls njoo na ID yako ya siku zote sio hii uliyo ifungua juzi juzi apa
 
Hahahaaaa mazee naona hiyo 40 imekuvutia sana.

But, don’t you think it sounds too good to be true?
People are desperate in making life. And guess what this is the mentality that most of fellas who join the business have.

It sounds too good to earn such amount, but not an easy task to reach there.
Patience, discipline, hardworking and clear understanding of the market movement are the key tools to reach such achievements.
 
Naskitika kuona kijana kama wewe umeshidwa kuelewa nilicho kiandika.

iN short wewe ni Hater kuna watu wako wana fanya hii kitu wapo Kimyaa kwa kua hawaja amua tuu kuji tangaza ila kwa kua kijana ame waletea hii fursa mme shindwa kui fanya basi mnaona yey ni tapeli
Na ku ziirisha izo chuki zako uka enda mpaka kwenye Personal page yake ya insta kuchukua picha za miradi yake na kuja kuipost uku
huku wewe ukiwa katka Fake ID..

If you have Balls njoo na ID yako ya siku zote sio hii uliyo ifungua juzi juzi apa
 
Naona kuna ukweli katika hili, mtoa mada kaeleza vizuri sana, FOREX haina utofauti na betting hivyo kama mtu anaweza ku bet hata forex pia anaweza akafanya ila tu atambue ni kamari kama kamari nyingine za kina bwin.com, bet365 na premierbet
Ahahaha wengi wanakosa uelewa kama wako

Ahsante kwakunielewa
 
Naskitika kuona kijana kama wewe umeshidwa kuelewa nilicho kiandika.
Dogo Nenda kwenye Page yako ya fesibuku kalete screenshot ya mradi wako si umeleta banda la kuku la mshikaji we hata banda la Sungura unalo??
weka apa ama njoo na ile ID uliyo kua waitumia siku zote ndio tuja dili vizuri
 
unataka kutumbua au unataka hadi nipate 40m?

Kama kutumbua tu tafuta viza now tar 23 naenda dubai nitarudi 10 January!
Jump in

Siwezi weka Take Profit kwenye 40m ikiwa kuna fursa ya kupata 100m! Huoni kuwa nitajikatili?
hapo sasa umenena...sema namwogopa mama mira mie
 
People are desperate in making life. And guess what this is the mentality that most of fellas who join the business have.

It sounds too good to earn such amount, but not an easy task to reach there.
Patience, discipline, hardworking and clear understanding of the market movement are the key tools to reach such achievements.

Do you know what ‘too good to be true’ means?

And by the way, I’m still waiting for you to put a hex on me.

Been waiting for years now, what’s up? Hahahaaaa.....
 
Back
Top Bottom