Simu inaandika the battery connection error, check the battery contant status wakati wa kuchaji

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
836
1,029
Habari wakuu,

Nina simu aina ya oppo ilizima sababu siku chaji sasa wakati wa kuchaji inaniandikia hayo maneno hapo juu halafu inazima.

Wataalamu nisaidieni hiyo ni ya kubadili battery au ni matengenezo madogo nisije enda kwa fundi akanipiga parefu.
 
Back
Top Bottom