Simba iwaongeze wazawa hawa msimu ujao, wana uwezo mkubwa

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
458
1,830
Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana lile goli la Nado ni uzembe wake tu kama lisingekataliwa, Duchu naye bado, hao wote hawana ubora kama wa Kevin Kijiri .

Wa pili ni yule Najim wa Tabora, fundi sana wa mpira yule mtoto na wala sio upepo, Najim, Yussuf Kagoma na Kevin Nashon ni vijana wenye uwezo mkubwa sana, hawa ni solution ya viungo wa chini pale Simba.

Kuna mido mwingine nimemsahau yuko Coastal Union, aisee dogo yule anazunguka sana pale mkwakwani, Simba huyo ni mali yenu msimuachie.

Yupo pia Mtenje Albano wa Dodoma Jiji naye ni mtu hasa pale katikati.Msije kusema kuwa sikuwaambia.
 
Wa coast yule ni triple G nafikiri ni Gerson Gerrard Gwalala mtamu sana yule jamaa. Halafu pale mashujaa kuna beki mmoja wa kati anaitwa Samson Madeleke bonge la beki lile jamaa sio hawa akina Kennedy
 
Back
Top Bottom