Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,123
2,535
Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini naona bado sijatengamaa..........kipindi presha ilivokua ikishuka nlikua nakoroga mchanganyiko wa chumvi Na sukari within minutes nakaa Sawa lakini Hii ya kupanda naona kushuka Ni mbinde
 
140/89 unasema imepanda? Hiyo mbona kawaida sana. Kuwa 128/70 mara nyngi chini ya miaka 20. Na Ukianza kuvuka 145/80 sasa hapo ndio unaingia kwenye tatizo la kudumu
 
Mmnh...chai
Muda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.
Screenshot_20240510-125917.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom