Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Wote wagonjwa ila Angalau Polepole ana nafuu na ametoka ICU.

Nape hamna kitu kichwani,kubwa jinga na lioga sana linafuata upepo tu,ata kushikishwa ukuta ni rahisi tu.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Polepole ni mzuri, Nape ni mzuri wa propaganda. Intelect ya Polepole relative to Nape ni Dar es Salaam na Mtama.....Kichwani Polepole ni mzuri kuliko Nape....hata shule yake ni bora zaidi *1000 kuliko Nape.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Kwa mujibu wa mtoa hoja na T.O.R alizoziweka, utaona kila mmoja kuna eneo yupo vizuri na sehemu nyingine anapwaya,

Mfano kwenye uchambuzi wa issues Slow slow anao uwezo kwa kiasi, japo ni mkwepaji mzuri sana wa maswali yanayomwonyesha madhaifu yake kuutendaji

Kuhusu presidential candidature Slow slow is too extremist and a hater especially westerners,,and he is too inconsistent than Nape,

Lakini kwa ujumla both wanakuwa driven na nyakati

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Rejeeni bandiko# 37 la Jokakuu akieleza maana ya 'think tank' na bandiko#47 la MALCOM LUMUMBA akizama kwa undani kuhusu maana hiyo.
Ukisoma kwa uyakinifu mjadala wa Nape na Polepole kuingia katika kundi hilo umefungwa

Nape na Polepole wamejenga mazingira mabaya, leo wanakuwa wahanga kwayo

Nape aliasisi mfumo wa kuzima habari na mambo kufanyika gizani . Hajaomba radhi hadi leo
Alilipa gharama ''at gun point' kama mnakumbuka, saa chache baada ya kutumbuliwa

Polepole alitekeleza sera zilisoasisiwa na Nape kwa kufunga midomo Wananchi.
Baada ya kufunga midomo ya media, Polepole akaweka kufuli la uhuru wa habari kwa Raia

Leo Polepoe anahubiri uhuru wa kutoa maoni, kama si kituko ni kutapatapa.
Uhuru upi anaousema? Hakumbuki walioumizwa kwasababu ya kutoa maoni nyakati akiwa juu?
Watu waliumizwa wengine kupotea , alikuwa kimya!

Katiba ilisiginwa, alikaa kimya. Eti leo anajiita ' constitutionalist' !! hii ni white elephant

Wote wawili wanavuna matunda ya kukosa maono! Hawakujua sheria walizotengeneza kama si kuwarudi zitawarudi watoto au wajukuu zao.

Bahati nzuri dhambi zao zimepata majibu palepale kama alivyosema Nyerere kuhusu dhambi na kisu

Badala ya kuwajadili hawa ambao 'relevance' yao katika society ina mashaka, watu na hasa vijana wajifunze kuhusu kutenda leo kwa kufikiria kesho.

Kule Bungeni kuna watu wamekaa kimya sheria za ajabu ajabu zikipitiswa, well! Wabunge hao waangalie mifano ya hawa vijana wawili.
 
Polepole by miles. Hivi Nape alishawahi toa mchango wowote wa manna hata bungeni? The main contribution he has ever had ni 'bao la mkono
' na kulala pirini akikipigania chama (kwa kadri ya manen yake)

The issue with Polepole ni kwa sasa anaonekana he is bitter about something na medium of communication anayotumia siyo kabisa si wana system zap chamani.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
wewe ndio hauna akili hata kuuliza swali hili

au unafanya kazi kama houseboy kwa Nape?

Tangu lini Nape ana akili???

katubu kwa mama yako, hakukuzaa mjinga hivi
 
Nilianza kumfahamu Nape kwenye sakata la Jengo la Umoja kwamba kulikua na mradi wa kifisadi ukimuhusisha mnene mmoja kwa wakati huo mzee mamvi. That was a true Nape.Polepole nimekuja kumfahamu kwenye tume ya mabadiliko ya Katiba, that was true Polepole. Wote wawili baada ya kupata madaraka serikali walibadilika kwa asilimia zote mpaka kuwatukana watu wazima waliowazidi umri tena matusi ya nguoni.
Kwa mtazamo wangu mimi nawaona wote wana tabia za kufanana nayo ni UNAFIKI.
 
Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo:

1. Uchambuzi wa hoja mbalimbali za kiuchumi , siasa, historia, dunia Kiujumla.
2. Elimu , nani kasoma sana na muelewa zaidi.
3. Unahisi nani mzalendo zaidi na yupi mwenye uthubutu.
4. Nani anafaa Kama ungeambiwa uchague rais wa nchi Kati yao.
5. Any other opinion from u
Kuweka neno IQ kubwa na kumuweka Nape, ni kulikosea heshima neno IQ,
Usilinganishe shabiki na 'think tank', hata kama unamchukia polepole.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom