Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,336
- 20,981
Waambie waendelee na mapambio Yao!
Mna roho ngumu sana
Nataka sitaki.
ikokotoo kiondolewe kwa walimu, maana wana mchango mkubwa sana kuturudisha madarakani.washenzi sana
Na hawana aibu, ingekuwa nchi zamkiislamu machawa wangeshatangulizwa waksheherekee na mabikra 72.Nchi yetu inazidi kudidimizwa kwenye dimbwi la ufukara wa fikira kutokana na hiki kizazi kipya kinacho itwa MACHAWA,na wakubwa wameshapata advantage/faida.