Maalim Chimpumu upo?Hatari Sana!
Duh... basi umefurahiiiii, haya leta kashfa nyinginelazima umpende huwa anasifia zigo lako.
Duh... basi umefurahiiiii, haya leta kashfa nyinginelazima umpende huwa anasifia zigo lako.
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.
Hatari sana.
==========
==========
==========
=========
Fuatilia Video zaidi
Karibuni wadau waJF.
Ipi hiyo?Daah hivi na ile ya David Rutumba mnaijua?
One day I will tell you sincerely how we are related. #Jemima.Barikiwa Sheikh Kipozeo, Yesu anakupenda sana
Let that one day be todayOne day I will tell you sincerely how we are related. #Jemima
AminKuna ile ya pombe,anasema ukinywa pombe ya ahera akili inazidi kuchaji,kadri unavyokunywa ndio akili yako inazdi kua nyingi.