Shinyanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,950
218,778
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea

Screenshot_2024-04-23-10-52-16-1.png

Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya Kahama , Mkoani Shinyanga .

Kama ilivyo kawaida , Mimi mtumishi wenu nitawaletea moja kwa moja kila kinachoendelea .

Usiondoke JF
=========
Kahama Mjini mambo ndio kama mnavyoyaona wenyewe , Mwamba Kabisa Freeman Mbowe akiongoza mashambulizi

Screenshot_2024-04-23-14-55-45-1.png
Screenshot_2024-04-23-14-56-24-1.png
Screenshot_2024-04-23-14-55-59-1.png
Screenshot_2024-04-23-14-55-36-1.png
Screenshot_2024-04-23-14-56-13-1.png
Screenshot_2024-04-23-17-53-12-1.png
Screenshot_2024-04-23-14-55-36-1.png
Screenshot_2024-04-23-17-53-47-1.png
 
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea

View attachment 2971692

Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya Kahama , Mkoani Shinyanga .

Kama ilivyo kawaida , Mimi mtumishi wenu nitawaletea moja kwa moja kila kinachoendelea .

Usiondoke JF
=========
Nani RPC huko?? Natamani kusikia mbowe katenguliwa kiuno, naagiza mimi mudawote
 
Asee hii vita ya hz vichwa mbili napoleon, ww 1, ww2, balitc, hata zile za Middle East hazifui dafu.. Ni mnyukano wa kuviziana.. Labda Tom & Jerry pekee ndio Wana derby ya dizaini hii 😂
 
Tengua tu viuno yaani ningekuwa mi kamanda, hakika hawa jamaa wasiokuwa na agenda ningeruka nao toa kichapo cha mbwa koko hahaha bahati yao
Halafu kuwa Polisi haimaanishi ndio kujua kupigana , Nimewakalisha Askari wengi tu kwa kipondo mtaani

FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea

View attachment 2971692

Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya Kahama , Mkoani Shinyanga .

Kama ilivyo kawaida , Mimi mtumishi wenu nitawaletea moja kwa moja kila kinachoendelea .

Usiondoke JF
=========
hamna ajenda, maandamano hayana mvuto
 
Back
Top Bottom