Shehe Ponda: Mashehe 7 Wamehukumiwa, Shehe Saidi Bakari na Abubakar Paul wamehukumiwa Kunyongwa, Utawala Wetu Dhulma Juu ya Dhulma!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,534
145,108
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM

Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa

Shehe Musa Hassan, Hussein Alli na Bakari Juma wameshinda

Shehe Ponda ametoa taarifa kwa Umma ukurasani X
 
Ameshapewa script sasa ameanza kuicheza ili kuwapoteza Wanyonge kudili na mambo ya msingi
 
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM

Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa

Shehe Musa Hassan, Hussein Alli na Bakari Juma wameshinda

Shehe Ponda ametoa taarifa kwa Umma ukurasani X
Walikosa nini hadi wakahukumiwa kunyongwa? Je, walikutwa na ugaidi? Hebu tupe kwanza uhalisia kabla hatujasema kama ni dhulma au la.
 
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM

Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa

Shehe Musa Hassan, Hussein Alli na Bakari Juma wameshinda

Shehe Ponda ametoa taarifa kwa Umma ukurasani X

Ngoja tuingie chimbo la mtandao wa Mahakama tanzlii tuone judgement na ushahidi Judgments - TanzLII

Ni vizuri hukumu zikatundikwa mitandaoni kwa wakati kuondoa rumours/ tetesi / udhanifu na kushutumiana.

Uwazi huweka historia njema kwa jamii kujifunza kupitia machapisho, siri huzua taharuki zisizo na sababu. Uwazi hujenga jamii huru iliyo na uelewa mpana.
 
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM

Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa

Shehe Musa Hassan, Hussein Alli na Bakari Juma wameshinda

Shehe Ponda ametoa taarifa kwa Umma ukurasani X
Haki, haki , haki. Samia anatesa wamasai, mmenyamaza, leo hajawatetea wa dini yake mnalalamika. Hata akiwa baba/mama yako, ukiona hatendi haki, mpinge /mwambie kwa nguvu zote.
 
Hao ni wahalifu, mauaji ya kimbari mapadri walifungwa, sembuse hao mashehe,
 
Back
Top Bottom