Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,661
17,245
Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa.

Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza kutoka kwenda kwenye shughuli zao.

View attachment 2811374

View attachment 2811376

View attachment 2811377

View attachment 2811379
Kweli watu wamenusurika huko? Au kuna waliopoteza maisha na mali zao?
 
Itoe tahadhari mapema watu waondoke hayo maoneo.

Kikinge ni kusimamia sheria hakuna ujenzi holela kwenye njia, mikondo ya maji na kujenga miundombinu sahihi.
Waanze leo? Mbona huwa wanaambiwa hayo yote na utabiri wa hali ya hewa walipewa mapema sana.Ubishi na dharau ndiyo faida yake hiyo.
 
Back
Top Bottom