Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,769
- 54,089
hapo fox river, SI una pakumbuka??Safi sanaaa ๐๐๐
hapo fox river, SI una pakumbuka??Safi sanaaa ๐๐๐
Napakumbuka sana palimtesa bwana jela msaidizi ๐๐hapo fox river, SI una pakumbuka??
ila Baadae Ali kufa kishujaaz kule wali enda kulipua njia.Napakumbuka sana palimtesa bwana jela msaidizi ๐๐
Kile kipande kilinisikitisha sana ila kabla ya hapo bagwel alinichekesha sana ku pretend yeye ndie mmiliki wa ofisi alipopokea wageni halafu vishindo vya nyundo kule chini anashindwa afanyeje kiti cha moto ๐ila Baadae Ali kufa kishujaaz kule wali enda kulipua njia.
Sema Ali piga speech Fulani ya moto, Ali tumia historia ya kutapeli na ujambazi, kushawishi wateja watoe hela ๐ ๐.Kile kipande kilinisikitisha sana ila kabla ya hapo bagwel alinichekesha sana ku pretend yeye ndie mmiliki wa ofisi alipopokea wageni halafu vishindo vya nyundo kule chini anashindwa afanyeje kiti cha moto ๐
Night agent?Aisee hakuna list ya series za action zenye story moja Kama echo 3, breaking bad, terminal list??
Tayari hio, zero zero zero Usha Iona??Night agent?
Zero zero zero weka link yake hapa. Hakikisha haina ushoga ndani yakeTayari hio, zero zero zero Usha Iona??
mkuu hio season Kali, shida una jua ugonjwa wangu ๐๐คฃZero zero zero weka link yake hapa. Hakikisha haina ushoga ndani yake
Mkuu hujui namna ya kuweka link? Au wewe una year subscription huko netflix? Na kwinginekomkuu hio season Kali, shida una jua ugonjwa wangu ๐๐คฃ
Mkuu hao Netflix anazo jirani, Mimi siwakubali kabisa.Mkuu hujui namna ya kuweka link? Au wewe una year subscription huko netflix? Na kwingineko
Naunga mkono hojaJamani kuna series inaitwa cleaning lady ni nzuri sana huto juta kuangalia
Tafuta Ozark na better call SaulAisee hakuna list ya series za action zenye story moja Kama echo 3, breaking bad, terminal list??
Angalia hii nayo nzuriii the gentlemanAisee hakuna list ya series za action zenye story moja Kama echo 3, breaking bad, terminal list??
Ozark is the best i can recommend it to anyoneTafuta Ozark na better call Saul