Sera ya Taifa ya Maendeleo Ya Vijana 2007

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Sera ya taifa ya maendeleo ya vijana iliundwa ili kutoa muongozo kwa vijana na asasi za vijana. Mkataba wakwanza ulitoka mwaka 1996 lakini ulikuwa na mapungufu mengi kwakuwa miaka hiyo ya zamani serikali na nchi kwa ujumla ilikuwa haina changamoto nyingi na wahusika hasa vijana hawakuhsishwa. Sera ambayo hipo hapa ya 2007 ilikuwa ya kurekebisha ile ya mwaka 1996 kupunguza mapungufu yake. Tumeweka hapa kwenye hii site kitabu chote, unakipata kwa kubonyeza hiyo linki ya kitabu hapo chini na utadownload kitabu chote.Please sambaza kwa vijana wote

Sera-ya-Taifa-ya-Maendeleo-ya-Vijana-2007.pdf
Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana1 2007.jpg
 
  • Thanks
Reactions: dit
Hii Sera mbona iko hapa lakini hatuweza kuipata???? Please vijana wanaharakati tunaihitaji sana.... mtusaidie......
 
  • Thanks
Reactions: dit
Back
Top Bottom