Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,390
- 4,245
Leo USA, UK, France, etc wanataabika kwa kuongezeka kwa matokeo ya ismamic extremism na jihadist movements ambayo yanafanywa na watu waliofungulia milango kwa ajili ya hifadhi na kutafuta maisha bora.
US na wenzake hawatambui kuwa wanajijengea bomu ambalo litakuja kulipuka muda sio mrefu.
Trump alikata minyororo yote ya kupokea watu kutoka nchi zenye uislam wa itikadi kali na zile zenye historia ya ugaidi, ila democrats wakamuona fala. Sasa acha waendelee kujionea madudu hawa itikadi watakayoyafanya.
Poland sio wabaguzi, ila wamejifunza haya kutoka kwa majirani zao. Hawataki extremism iwe ndani ya nchi yao