Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
262
751
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa kikatili, cha kusikitisha kuna watanzania wenzetu waliwatetea magaidi eti kisa kavaa boxer ya kijeshi.

Iraq, Iran, Afghanistan ziliwahi kuwa na uhuru kabla ya kugeuzwa kuwa dola kandamizi za kiislam,

Tena kwa wayahudi hali itakuwa mbaya mno mara 10 ya wakristo wanaoishi Iraq, yatafanyika ni mauaji na mateso ya kisasi yenye mrengo mkali wa kidini.
 
Hii dunia tuendelee kuomba maana kama ingetokea waislamu ndio supapawa tungefutwa kitambo, uzuri mungu wao hana nguvu, huwakimbia wakianza kupokea kibano cc brazaj

Hebu waza hapo Zanzibar kakisiwa kadogo kamejaa Wabantu ambao babu zao walichukuliwa mateka kule unyamwezini, leo hii ikifikia mfungo ule wa kubadilisha masaa ya kula wanalazimisha kwa kila mtu bila kujali wa dini gani, ilhali wenyewe hawana hizo sheria kwenye katiba Yao.
Ndio nilikuja kuelewa kwanini Nyerere alishikilia hako kamuungano, wakiachwa wenyewe EAC hakitakalika.
 
Nyerere alipofeli ni kushindwa kushinikiza policy za diversity wabara nao wasambae Zanzibar hasa wakristo, Zanzibar karibu 99% ya watu serikalini kuanzia ikulu, wizara, wakurugenzi, rpc, majaji, n.k. ni waislam hao ndio wafanya maamuzi na hawana upinzani wa kufanya maamuzi kwa attachments zao za kidini.

Ilibidi wakristo wa huku bara nao waende huko kusambaa kwenye nafasi hasa za maamuzi
 
Israel iendelee kutoa dozi tu hakuna namna
Screenshot_20240412-132717.png
 
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa kikatili, cha kusikitisha kuna watanzania wenzetu waliwatetea magaidi eti kisa kavaa boxer ya kijeshi.

Iraq, Iran, Afghanistan ziliwahi kuwa na uhuru kabla ya kugeuzwa kuwa dola kandamizi za kiislam,

Tena kwa wayahudi hali itakuwa mbaya mno mara 10 ya wakristo wanaoishi Iraq, yatafanyika ni mauaji na mateso ya kisasi yenye mrengo mkali wa kidini.
You do not know what you are doing
 
JF kuna utoto sana....
Tumia akili kidogo tu.
Usijizime data.
Tafuta ukweli.
Weka udini pembeni.
Usikubali kila kitu unachoambiwa.
Tafuta ukweli.
 
Fuata sheria za nchi zao, acha kuleta ujuaji.
Mollel alikuwa nchini Israel alivunja sheria gan ya Palestina ? kwann walimuua Mollel na kuwaacha raia na wanajeshi wa Israel ambao ndo maadui zao ? Mtu mweusi umekuwa mjinga kiasi cha kutoelewa hata ukioneshwa hupendwi
 
JF kuna utoto sana....
Tumia akili kidogo tu.
Usijizime data.
Tafuta ukweli.
Weka udini pembeni.
Usikubali kila kitu unachoambiwa.
Tafuta ukweli.
Anza wewe kufanya which utaelewa maana ya hii post , Makundi ya kiislam sio rafiki
 
Mollel alikuwa nchini Israel alivunja sheria gan ya Palestina ? kwann walimuua Mollel na kuwaacha raia na wanajeshi wa Israel ambao ndo maadui zao ? Mtu mweusi umekuwa mjinga kiasi cha kutoelewa hata ukioneshwa hupendwi
Ndgu yangu alikuwa huko mpaka kesho , hao vijana wenu walikuwa kweny jeshi hilo...Wapo mpaka leo wanasoma muulize alifuata nn huko?
 
wewe ndo hujui ila upo hapa unabisha bila kufuatilia , Mollel aliuliwa akiwa hana hata wembe ila kwa akili yako fupi huoni kuwa hao hawakutambui ww muislam kanz , walimuacha Myaudi adui yao kisha wakamuua mswahili asiyehusika na migogoro yao
You do not know what you are doing
 
Anza wewe kufanya which utaelewa maana ya hii post , Makundi ya kiislam sio rafiki
Sema makundi ya kigaidi.... siyo makundi ya kiislam, japokuwa wanajiita waislamu ila ni waislamu wa MCHONGO.
ISIS, Boko Haram wote wana ajenda zao.

Waislam ni watu peace sana...
 
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa kikatili, cha kusikitisha kuna watanzania wenzetu waliwatetea magaidi eti kisa kavaa boxer ya kijeshi.

Iraq, Iran, Afghanistan ziliwahi kuwa na uhuru kabla ya kugeuzwa kuwa dola kandamizi za kiislam,

Tena kwa wayahudi hali itakuwa mbaya mno mara 10 ya wakristo wanaoishi Iraq, yatafanyika ni mauaji na mateso ya kisasi yenye mrengo mkali wa kidini.
Kinachosumbua ni elimu yetu inafanya watu wengi washindwe kuchambua mambo na kuwa na uelewa mdogo, hata hicho ulichokiandika hapo ni utoto mtupu, kule uingereza na marekani kuna hadi viongozi wanaopinga sera za israel
Waziri mkuu wa zamani wa israel anapinga sera za sasa za netanyahu, huku mtu upo mbagala unaandika vitu kama hujaenda shule
 
Back
Top Bottom