Ridhiwani kaenda Ukerewe?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,489
40,018
Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena...
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.

Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.

Labda walioko huko watujuze zaidi....
 
Nakumbuka Lowassa akiwa PM alikwenda Ukerewe na kuuliza kwanini nyinyi Wakerewe mnazaana sana (Ukerewe is one of the district where fertility rate is very high). Akajibiwa kwamba "KWASABABU YA SUPU YA VICHWA VYA SAMAKI MZEE".

Je hilo ndilo pia amefuata Ridhwani Ukerewe?!
 
Ana maana yake....huyu jamaa huwa hakurupuki.
Maana anayo yeye, hapa siyo jukwaa la Methali ndugu si kila mtu ambaye yupo currently na habari za Tanzania au anajuwa Movement za Ridhiwani. Narudia tena this is poor thread.
Angalia sana baadae usijikute wewe ndo ukaonekana hamnazo!
Sihitaji mtu mwingine yeyote kufikiri kwa niaba yangu, kama yeye Mwanakijiji anavyotimiza wajibu wake wa kuikosoa na kuishauri Serikali na mimi hapa namkosoa kwamba hii thread hakuna la kuchangia unless wewe unajuwa kila step ya Ridhiwani.
 
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.

Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.

Labda walioko huko watujuze zaidi....
 
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.

Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.

Labda walioko huko watujuze zaidi....

oohooo.. nadhani hauko mbali sana na ukweli.. thanks..
 
Back
Top Bottom