2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,694
Rick ross hitting the weight to climb the MT. Kilimanjaro next year.
Acha tamaa komwe weweUmbo lake huyu jamaa ni kama halina mvuto kidogo eti?
kuna mrembo wa ki tz alilizimikia akafa akaozea hapo. Huyo mrembo ni mrembo hasa alilipenda umbo la rick rossUmbo lake huyu jamaa ni kama halina mvuto kidogo eti?
Hamisa kipo alichokuwa anachukua hapo mkuukuna mrembo wa ki tz alilizimikia akafa akaozea hapo. Huyo mrembo ni mrembo hasa alilipenda umbo la rick ross
Wewe unataka ukachukue nini tuone umbo lako kwanzaHamisa kipo alichokuwa anachukua hapo mkuu
Pole kama umeumia mkuuWewe unataka ukachukue nini tuone umbo lako kwanza
Katuletea wataliiiHamisa kipo alichokuwa anachukua hapo mkuu
Hivi huyu jamaa ana umaarufu gani????
Kwa list ya wanawake anaodate nao,hawezi hata kumkumbuka Hamisa.Je, Hamisa Mobetto atampokea na kumsindikiza?
Ujinga kama huo auwezi niumiza labda wewe single mum unayesema wenzako wanamaumbo mabaya wakati yako ayaelewekiPole kama umeumia mkuu
😂😂😂hii imeenda ....Katuletea wataliii
Pole sana Mkuu,Fanya zoezUjinga kama huo auwezi niumiza labda wewe single mum unayesema wenzako wanamaumbo mabaya wakati yako ayaeleweki
Yeah,yupo goodsana kiuchumi aiseeHuyu bingwa anamiliki magari mia tatu.
Umekwisha tamani, aisee ila mtaendanaUmbo lake huyu jamaa ni kama halina mvuto kidogo eti?