Tetesi: Richi Mitindo na Jackline Wopler wameachana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,975
32,537
Kuna taarifa za chini chini richi kaachwa na Jack sababu kila mtu kashindwa kuwa mvumilivu kwa mwezie.

Sasa mwazo Jack alikuwa anahisi kama mumewe ana videmu uko nje akaanza vizia simu ya mumewe akaja kukutana wanaitana bby na mwanaume mwezie hakuamini.

Alijaribu kuvumilia akashindwa akaenda kwa Bonita pale ndio huwa wanakutana mastaa akaomba ushauri afanye nini?

Imepita muda sana wakiwa kwenye mgogoro huo lakini wanakosa cha kufanya wameishi hakuna kupostiana wala kupeana hi ni mnuno.

Ila mpaka sasa hivi naongea wameachana na kila mtu kabeba kilicho chake.

443FBBF5-12C9-4325-9AB8-FE0F23538F7C.jpeg
 
Hii dhambi imekuwa kubwa.

Mmoja alivizia simu ya mumewe hivyo hivyo akakutana na hizo meseji chonganishi, alipomuuliza mume akasema.. ni better umejua mwenyewe, nilikuwa nawaza nitaanza je kukuambia ...

What a shit life ?
 
Back
Top Bottom