Sawa Mwakarobo FC hongereni kwa kufa kiume. Badala ya kupambana msonge mbele mnabaki kila mwaka kujisifia vitu visivyoeleweka. Ingekuwa timu ya malengo kweli miaka yote walau mngekuwa mnavuka hiyo hatua. Yaani mbumbumbu mnaridhika kuishia robo, mnachekesha nyie.SALAAM WAKUU.
Wakuu kama tunavyofahamu kuwa Al ahly ndio bora zaidi Afrika ikiwa ndio timu yenye mengi ya kimataifa kuliko timu zote duniani.
Kwa iyo ili kupima ubora lazima uangalie rekodi zako pindi unapokutana nae. Leo katika kuangalia rekodi nimegundua kuwa Simba ndio yenye rekodi bora zaidi dhidi ya Al Ahly kwa timu za Afrika mashariki kwani hakuna mbabe kati yao.
SIMBA VS AL AHLY.
MECHI 8.
SIMBA AMESHINDA 3.
DRAW 2.
AL AHLY AMESHINDA 3.
NB: UKIBISHA LETE REKODI YA TIMU YAKO DHIDI YA AL AHLY.