RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Sisi tuliojiunga hivi karibuni tunapaki wapi😀
 
Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!
Watu kama kina Masanilo ndiyo najua ni wa siku nyingi.
Unalikumbuka battle la Masanilo na Malaria Sugu. Watu wazito sana hao. Masanilo nadhani ni PhD holder halafu ni Dr tuko zake Uungereza. Nilishawahi katana nae JB Belmont 2012
 
Back
Top Bottom