pig man
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 292
- 319
barca hana chake iyo gemu, ndo hapo atakapoanzia kula kichapo kwenye league. huyo kipa wao bravo atakiona cha mtema kuni, kwa sasa chama letu liko on form tulikuwa na matatizo mwanzo kutokana na mfumo lakini naona wachezaji wameshaanza kufahamiana vyema kimfumo.