Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nope sio kama watu hawamtaki carlo lakini mpira wa sasa unaenda unabadilika let say tulitolewa na city kwa penalty then watu lazima waje juu sababu tulikuwa na kiwango kibovu zaidi ya previous H2H with them

carlo tangu atue ni mtu ambae ana implement simplier philosophy yani sio complex minded inapelekea mashabiki wawe wana rely on luck and Madrid composer of winning mentality yani ( sisi hata tukipewa 1% dhidi yao wao wapewe 99 % tutashinda tu)

Huo mpira wa bahati bahati huwa unakuwa na mwisho tunataka tutengeneze au turudishe legacy yani mtu akikutana na Madrid lazima atetemeke kama ilivo kwa city sio mtu anasema tunapita ki bahati bahati a good playstyle which is somehow relevant na ile era yakina cr7 modric casemiro...

so we need someone like xhabi who is undoubtedly is or will be one of the greatest along side top elites kama pep arteta ambao washatengeza high standards... si tumechoka tunacheza mechi tunatetemeka tunakata tunacheza na mtu kama man city yeye mwenye anatupa respect kama anayo wapa Liverpool kuwa ni wagumu na anawaogola kiaina na sio unafki kuwa anacheza na sis huku akiwa aona madrd kwa bahat waliyo nayo ndio kitu pekee watatumia kututoa

IMG_2736.jpg

Msikilize bernado silva
 
it's 50/50 ni mapema sana ku conclude fate kabla ya, destiny

Destiny ya huyo kijana labda ilikuwa aje awepo hapo kama wengine waliopita hapo acheze kwenye dreamteam yake ili afikie fate yake ya kutwaa mataji makubwa pamoja na kushinda tunzo kubwa kama ya ballon dor

wapo wengi wao waliopita hapo na walitarajiwa makubwa kama kaka ... raul ila mwisho waka flop

pia wapo waliotarajiwa kuja kuwa flop wakajaga kubeba ballon dor hapa namzungumzia modric huu usajili wa huyu wali mpiga kura za worst signing of laliga akawepo ila akaja kuushangaza ulimwengu

so far ndio kwanza first season it's our responsibility sisi kama mashabiki kuwa guard support na kuwa encourage wachezaji wetu kupitia support zozote zile ili wafike pale tunapotaka kuwaona

Mkuu Raul ali fail? Raul gani unayemkusudia?
 
Nimesoma michango ya wadau wengi humu juu ya team yetu na namna inavyochelewa kwa ujumla.
Niseme tu hivi, tunacheza vile kutokana na aina ya wachezaji tulionao na experience ya team kwa ujumla, team yetu bado ipo kwenye transition, tuna team ya vijana wadogo wanaokuja, tunaona wanafanya makubwa uwanjani ila bado hawajakomaa kihivyo, kufanya makosa kwao ni jambo la kawaida, sasa kocha usipokuwa makini unaweza kujitukuta unapoteza kazi kijinga.

Ancelotti anachofanya ni kutumia silaha alizonazo vizuri kufanikisha malengo yake, na hapo ninamuelewa vizuri sana.
Anajua ana vijana wazuri kwenye kuzuia ana kiungo mzuri kwenye kufanya transition na ana washambuliaji wazuri na wenye speed, so yeye anatembea na hiyo falsafa yake, maana yake atabadilika kutokana na mpinzani atayekutana nae.
Anajua akicheza na City ama Barcelona hawa silaha yao ni kumiliki mpira mara nyingi, sasa yeye haendi kushindana nao kumiliki mpira, ila anaenda kuangalia namna ya kuwapiga kwenye udhaifu wao., ukisema sie tucheze kama fulani utapotea.

Na hiyo ndio sifa kubwa ya Carlo, anaweza kucheza mifumo tofauti na wachezaji wa style tofauti, Hebu mchukue Pep halafu mkabidhi Valverde, Jude, duarani na nyuma Militao na courtois golini atakula nyingi mpaka atatia aibu. Pep akikosa tu kipa anaeweza kucheza na mpira basi tayari amekwama.
 
Halafu inatakiwa watu waelewe kuwa Real Madrid mara nyingi Coach hafanyi usajili, ni mara chache sana Coach atatoa mapendekezo na yakafanyiwa kazi., ila kinachotokea ni kuwa Club inasajili kutokana na matakwa yake wanavyoona wao.
Kazi ya Coach pale ni ku-manage kikosi tu, na hapo ndipo utakapoona ugumu wa ile kazi, sio kila Coach amaweza kufanya kazi pale, hii team inayoiona ukimpa Kocha mwingine anaweza kupotea, mpeni Carlo maua yake.

Wengi wanashindwa kuelewa hilo, makocha wengi huwa wanakwama pale.
 
Macho yako hua Kwa Bellingham Tu, Wengine wakicheza Chini ya kiwango husemi, Una matatizo wewe

yeye ndio yupo kwa ajili ya kuibeba timu, Star player anatakiwa awazibie mpaka mashimo wengine, ila naona yeye ndio amekuwa Ghost uwanjani kukliko yoyote.

Binafsi mimi sina tatizo nae jamaa, mana namuelewa uwezo wake vizuri, ni everage players at best, anaetemebelea upeopo wa Taifa lake.
Nashindwa kuwaelewa wanaomshabaikia na kusema ni mchezaji bora Dunia, Yani mchezaji bora wa dunia anakaa vile? Dah sijwahi kuona kabisa
 
afu kuna sehemu anakwambia musiala ndio anafaa kuwa mbadala wa Luca modric yani watu wanafatufanya si wengine tunatazama mpira kwa kutumia matumbo

Mkuu, tulimuona Musiala alivyoupiga mwingi, hata humu jamavini wengi wamekuballi kuwa jamaa anaupiga, Lakini Kijana wako Mbona alipotea uwanjani?
 
Nope ni typing error ilikuwa top worst signings ni eden Hazard na kakaView attachment 2978556

Hazard alikuwa destined to fail, Mimi binafsi nililitabiri hilo, NIkawa naitwa hater kama hawa Jude fan boys wanavyonita ssa hivi, Uwezo wake ulikuwa limit kidogo kwa ku perform timu kama Madrid ila sio wengi waliofahamu hilo. Alikuwa ana udhaifu mkubwa ambao niliamini ungelimuangusha pale Real.

Kaka alisumbuliwa sana na majeraha, na alipokuwa tayari ameshapowa vizuri tayari palikuwa na Ozil ambae ameshashika namba akiwa moto, lakini kaka hata hapo alipokuwa real bado alikuwa ana perform vizuri kila alipopata nafasi.
 
ni mawazo yako it's okay yaheshimiwe but hawa waliopo still bado ni wachezaji wetu hata mtu aweje inabidi tumvumilie sisi kama fans tumkumbatie maana huyo ndio wetu sisi

still kwa jude naona bado muda wakutoa conclusion kwa wanaomjua vizur ni one of the best player in the world right now

1 starter for England team CAM hamna wakumuweka benchi

2 price tag of 180m watu walio mvalue sio kwamba hawajui mpira kutuzidi sisi

3 21G/A in laliga ni wapili toka dovbky na amekuwa mchango mkubwa hasa katika mechi za laliga alikuwa on fire

4 he is young with much time to adapt from the best in order for him to be the best

5 ongezea
 
context wise

jude v/s musiala

age... both watoto wa 2003 mmoja june (jude) mwengine feb ( musiala) soo musiala ni kaka

preferred foot and position

jude right foot plays false 9 ... CAM... CM... LCM... LW

musiala right and left foot plays CM... CAM.. LW.. RW

PRICE TAG

JUDE... 180M
MUSIALA... 110M

PLAYING STYLE

JUDE a, mix player of mostly defence at CM ball carrier and good technical passer with solid accuracy plus interceptions

MUSIALA.. an offensive machine an overall better dribbler playmaker lethal wing forward who can cause serious problems to your goal at either RW or LW

JUDE plays somehow in the same composer as Zidane lakini ni mzito flani hivi na hii ndio uzaifu wake mkubwa

MUSIALA.. wachambuzi wanasema huyu ndiye kivuli cha messi kwa mbali maana hakuna best dribbler kwa sasa zaidi ya huyu kijana shida yake hana shot accuracy nzuri inampelekea kuwa na number ndogo za magoli kuzidi jude
 
Ninaangalia marudio hapa, kuna save Neur alifanya dhidi ya Kroos, daah, sijui ule mpira ulionaje, yaani lile lilikuwa goli kabisa.
Mi mwenyewe Nilishangaa Kwa footwork ya toni niliamini lile lilikua bao,

Kati ya magolie ninao waheshimu aliebaki ni huyu wa Buyern, jamaa hua haelewekagi maamuzi take,

Anyway laiti Kama angelimsogeza kidogo Tu kwenye mtambaa panya kule jamaa asinglifika.
 
SUALA LA JUDE BELLIGHAM NA JAMAL MUSIALA SI MJADALA.

Kabla ya Mechi ya Jana sikuwahi kusikia wala kuona mjadala Kama huu ukikua kiasi hiki.

Jude kacheza Bundasliga zaidi ya misimu miwili,
na walikutana Sana Tu kwenye Derby ya Buyern Munich Vs Borussia dortmud,
mashabiki na nyie wachambuzi na vingereza vyenu mlikua kimya kwann?

Kwann huu mjadala umeanza Jana baada ya Mechi na si kabla ya Mechi?

Vipi Kama mechi hiyo Madrid angeshinda je huu mjadala ungekuepo?

Kwann wamesubiri Jude Acheze Chini ya kiwango mechi moja,
then mechi hiyo hiyo mtumie kumlinganisha Kwa kiwango cha jumla na Jamal aliekua kwenye high performance mechi husika?

Kama mkijadili kuhusu mechi ya Jana Tu Jamal Vs Jude,
To be honest Jamal alikua na mechi Bora Sana Jana.

Ila mkitaka tujadili kuhusu kwa ujumla nani zaidi Kati Yao Kwa kuzingatia Performance na Quality ya hawa wawili hapana Kwa kweli,
Jamal kua juu ya Jude nimekataa,

Sijakataa kwamba Dogo ni Talented Footballer,
nachopinga ni kumshindanisha na mtu alie juu yake.

Tazama takwimu zao.

Jamal ana miaka 21 Jude 20,

katika michuano ya UEFA champions League.

Jamal ameanza kushiriki msimu wa 2020-21, Jude hivyo hivyo pia.

Jamal Mpaka sasa amefanikiwa kucheza Mechi 33 Jude 32,

Jamal Kafunga Goal 4 Jude 10.

Jamal katoa Assist 3, Jude 9.

Jamal hajaingia hata mara moja kwenye UEFA Champions League Team of the Week,
Jude kaingia mara 3,

Takwimu hazimbebi Jamal labda anacho-mzidi Jude ni umri na namba ya jezi Tu,
42 Kwa 5.

Japo ni Mjadala huru Sio lazima uamini mwenzako anachokiamini,

Ila Jiulize Kwann JUDE akiwa kwenye ubora wake husikii watu wakimshindanisha na JAMAL?.

Kiungwana kabisa Jamal ni mchezaji mzuri Sana,
Ila kumpandisha mtu sio lazima umshushe mwingine
angalieni na wa kushusha.

Haters Haters Haters

"Ondoeni chuki binafsi Mu-enjoy football".
 
Nope ni typing error ilikuwa top worst signings ni eden Hazard na kakaView attachment 2978556
Hata haukukosea, ni sahihi kabisa, Luka Modric magazeti ya Spain yalim-rate kama worst signing of the season., na haikuwa uongo, Luka alipata wakati mgumu sana kuingia kwenye mfumo, na shida kubwa ilikuwa aina ya wachezaji tuliokuwa nao kwa kipindi kile na aina ya kocha tuliyekuwa nae.
Isingekuwa rahisi kwake kucheza kwenye team iliyokuwa inatumia nguvu kama ile, wewe huwezi kushangaa kuna kipindi Pepe alikuwa anacheza kama kiungo, Essien anacheza kama beki wa kulia, game zetu zilikuwa na matumizi makubwa sana ya nguvu.
 
context wise

jude v/s musiala

age... both watoto wa 2003 mmoja june (jude) mwengine feb ( musiala) soo musiala ni kaka

preferred foot and position

jude right foot plays false 9 ... CAM... CM... LCM... LW

musiala right and left foot plays CM... CAM.. LW.. RW

PRICE TAG

JUDE... 180M
MUSIALA... 110M

PLAYING STYLE

JUDE a, mix player of mostly defence at CM ball carrier and good technical passer with solid accuracy plus interceptions

MUSIALA.. an offensive machine an overall better dribbler playmaker lethal wing forward who can cause serious problems to your goal at either RW or LW

JUDE plays somehow in the same composer as Zidane lakini ni mzito flani hivi na hii ndio uzaifu wake mkubwa

MUSIALA.. wachambuzi wanasema huyu ndiye kivuli cha messi kwa mbali maana hakuna best dribbler kwa sasa zaidi ya huyu kijana shida yake hana shot accuracy nzuri inampelekea kuwa na number ndogo za magoli kuzidi jude
Sioni haja ya huu mjadala., sana sana kuna watu wanataka kumshusha Jude basi., ila ninachojua ni kuwa kijana bado ana muda wa kubadilika na kuendelea kuimarika, ndio kwanza ana miaka 20 tu.
Kama Vinicius Jr amebadilika na kuimarika sioni kwanini isiwe kwa Jude.
 
Hata haukukosea, ni sahihi kabisa, Luka Modric magazeti ya Spain yalim-rate kama worst signing of the season., na haikuwa uongo, Luka alipata wakati mgumu sana kuingia kwenye mfumo, na shida kubwa ilikuwa aina ya wachezaji tuliokuwa nao kwa kipindi kile na aina ya kocha tuliyekuwa nae.
Isingekuwa rahisi kwake kucheza kwenye team iliyokuwa inatumia nguvu kama ile, wewe huwezi kushangaa kuna kipindi Pepe alikuwa anacheza kama kiungo, Essien anacheza kama beki wa kulia, game zetu zilikuwa na matumizi makubwa sana ya nguvu.
Nusu fainali ya Champions leauge 2011 na Barcelona mechi ya pili ile ya Bernabeu jose katikati ya kiwanja alikua na Pepe, Diarra,Alonso afu kweny beki wa kati kaanza na Albiol na Sergio Ramos kulia Arbeloa kushoto Marcelo game mechi nzima kilikua kinatembea kiatu tu had Marcelo alikua anachapa kiatu balaa Pepe aliambulia tu kupata kadi nyekundu Jose ile timu alikua anaipeleka kuwa timu ya WWE sio ya mpira tena
 
Back
Top Bottom