RC Makonda ateuliwa kuwa mshauri wa bodi ya Simba

Victoire

Kwani pamba vp jamani mwanza imekufa au ? hizi Simba na Yanga ni kwa Ajiri Yetu Wazawa wa Dar es Salaam na Pwani yke ila tumeyataka wenyewe acha wafanye watakavyo maana wanasema eti Dar es salaam Aina mwenyewe...
IMG_20191215_165422.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Karne hii ya biashara ya mpira bado muda wa kuweka wanasiasa kwenye vilabu vyetu maana timu kama Simba mipango yako ilikuwa kufikia mafanikio ya angalau TPMazembe sasa unapoanza kuwaingiza watu ambao hawajui hata chandimu kinachezwaje unapata mashaka juu ya mustakabali wa timu za Tanzania ,maana kila siku tumekuwa tukilia juu ya timu ya Taifa kufanya vibaya ,tatizo linaanzia pale vilabu wanapoamua kuweka viongozi ambao hawajui namna mchezaji anavyo weza kulipwa ,umri wa mchezaji,mikataba yao,sasa leo unapomuingiza makonda hivi tunategemea kuwa na mshauri aliyebora au kutafuta umaarufu wa kisiasa ,maana huyu jamaa nilimwona alivyodandia kamati ya AFCON kwenda Egypt zaidi ya kumwita chapombe liquid akashangilie matokeo yake watanzania wakaichukia timu yao,mwisho kabisa niseme kwa uzalendo huu ndio mwisho wa Simba hapo kwenye club pataingizwa Uccm na Uchadema halafu timu itapusuka vipande,baadaye mtapoteza wapenzi na mashabiki wote chukueni mfano huu timu ya Mbeya city namna ilivyokuwa tishio miaka ya karibuni lakini walivyoingia wanasiasa wote ni mashahidi saizi hata viatu wanaomba kwa mtendaji kata,timu kama Namungo,Ndanda,Singida United,lazima wazame Kasim Majaliwa,makonda,Lamek Mwigulu angalieni sana
 
Back
Top Bottom