RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,234
72,504
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.

Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini?

Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.

 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.
Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguningi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini? Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.
Moderator please badili heading kuwa "unamtaja Rais sio RC"

Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.
Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini? Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.
Moderator please badili heading kuwa "unamtaja Rais sio RC"
Safi Sana . Hii ndiyo dawa ya matepeli. Zomea mpaka yakome
 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.
Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini? Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.
Moderator please badili heading kuwa "unamtaja Rais sio RC"
Mjinga sana huyo, bora mbuzi ana akili ya kumjua mwenye mbuzi
 
Hivi kuna rais anapingwa kama Dr. William Samoe Ruto hapa Afrika Mashariki?

Ruto huwa anazomewa hadharani.

Hiyo ndiyo demokrasia.
Sawa kwa huko ambako ni jambo la kawaida, lakini kwa huku ambako ni kama sheria kusema "anaupiga mwingi" unajua kuzomewa hadharani maana yake nini?
Hapo ni kuwa bila kuiba kura usishangae akaibuka na 20% of votes
 
Back
Top Bottom