Rais wa Senegal ameingia Ikulu na wake zake wawili ameapa kupambana na ushoga nchini mwake

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,425
21,933
Rais mpya wa Senegal aliyechaguliwa kwenye duru ya kwanza Faye mwenye mwaka 44, ameingia leo Ikulu na wake zake wawili, Marie Khone ambaye amedumu nae takribani miaka 15 kama mke wa kwanza na wana watoto wa nne, Absa ndo mke wa pili ambae amekaa nae zaidi ya mwaka.

Ameapa kupambana na ushoga nchini mwake akianza urais wake akisema ushogaa ni uchafu i kamwe hatuwezi kuupokea nchini Senegal.

Screenshot_20240402-180206_Chrome.jpg
 
Yaani kupambana na ushoga ndo ajenda yake kuu au?

WTF is that?!!

Usikute na yeye ni shoga wa chini chini….

Watu waupingao ushoga kwa nguvu nyingi mara nyingi huwa ni mashoga wa kujificha…
kuna shoga mwenzie kampora bwana, huwa wana visirani sana. Lol
 
Rais mzima badala ya kuwaza mambo ya msingi na muhimu kwa wananchi wake, yeye anawaza miili ya watu matumizi yake.

Senegal wameyatimba, woiiiiih
 
Raisi wa senegal mpya alio chaguliwa kwenye duru ya kwanza Faye mwenye mwaka 44, ameingia leo ikulu na wake zake wawili, Marie khone ambaye amedumu nae takribani miaka 15 kama mke wa kwanza na wana watoto wa nne, Absa ndo mke wa pili ambae amekaa nae zaidi ya mwaka.

Ame apa kupambana na ushoga nchini mwake akianza uraisi wake kasema ushogaa ni uchafu i kamwe hatuwezi kuupokea nchini Senegal.
View attachment 2951931
Hii ndo akili ya mtu mweusi. Katika yooote ya kuanza nayo huko Senegal ameona hii ndo changamoto kubwa ya mwafrika na msenegali sio 😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom