jorochere95
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 294
- 152
Rais kapotea na ndege yake!Ndege yake ipo wapi kwa sasa
Inasemekana Mara ya mwisho alihudhuria kikao cha U.NNdege yake ipo wapi kwa sasa
Usalama wa taifa watajibu....!!kama kweli kapotea basi malawi malawi itakuwa taifa la hovuo kuwahi kutokea tangu enzi za nuhu
Kwa kawaida hawez kuwa pekee yake ....!Ni yeye peke yake au na timu yake?
...tulisema sisi hatujaribiwi.....
napitaaa tu