Rais TLS: Huwezi kutuita ghafla kutoa maoni kuhusu Bandari, sisi sio Waganga wa Kienyeji

Mbarawa yuko smart sana kichwani
Hadi Magufuli alikuwa ndie kipenzi chake kikubwa mno

Nadhani kuna tatizo mahali

Ama kuna agenda ya ku mu.kick out Mbarawa technically out of politics kwa kumchomekea vitu vibaya au yeye mwenyewe kabadilika sababu binadamu sio static aweza badilika anytime

Ushauri wangu kwa Mbarawa kama anaona kuna issues sio kwa kiwango vile ajiuzulu uwaziri kwa nia njema tu asingizie chochote abaki na ubunge awaachie zigo lao wenyewe waliolipika

Atoe sababu zozote atakazofikiri
Mwinyi aliwahi jiuzulu baadaye akaja kuea Raisi

Ubunge abaki nao uwaziri aachie asinye fanywa dekio bure
Labda wameamua kum kick out makusudi, ili asiwe Rais huko kwao Paje.
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyia (TLS) Harold Sungusia amesema Chama hicho hakijaenda kutoa maoni kuhusu sakata la Bandari linaloendelea sasa kutokana na ufinyu wa muda waliopewa wa kujikusanya, kupanga mipango na kuandaa uchambuzi wa kina kuhusu mkataba huo.

"Huwezi kutuita ghafla kwamba njoo kesho, uje utoe maoni kwa kitu ambacho hatujakifanyia kazi, sisi sio waganga wa kienyeji" Harold Sungusia amesema.

Pia soma: Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
2025 kutakuwa na mtifuano wa kutosha

CCJ is loading
 
Wawe na adabu na waganga wa Kienyeji.

Hiyo lugha yenye tone ya dharau Kwa waganga wa Kienyeji ianze kukoma.

Dunia nzima kuna waganga wa Kienyeji na kuna nchi "alternative medicine"inasomewa mpaka vyuoni.

Na wanatibu watu wengi wanao jiona wa maana wakiwemo wanasheria Wengi.

Atafute mifano mingine.
Lakini hapo hakuwakosea adabu kama unavyodhani;kasema wale wanaweza kufanya mambo ya "ajabu' kufanya mambo ambayo hawaja yafanyia kazi
 
Wawe na adabu na waganga wa Kienyeji.

Hiyo lugha yenye tone ya dharau Kwa waganga wa Kienyeji ianze kukoma.

Dunia nzima kuna waganga wa Kienyeji na kuna nchi "alternative medicine"inasomewa mpaka vyuoni.

Na wanatibu watu wengi wanao jiona wa maana wakiwemo wanasheria Wengi.

Atafute mifano mingine.
Ametoa mfano sahihi kabisa, ukibisha nenda wilaya za Misungwi, Sengerema na Magu uone kama hawa watu kunamaandalizi ya jambo au msamiati wa kujiandaa/ kushindwa kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyia (TLS) Harold Sungusia amesema Chama hicho hakijaenda kutoa maoni kuhusu sakata la Bandari linaloendelea sasa kutokana na ufinyu wa muda waliopewa wa kujikusanya, kupanga mipango na kuandaa uchambuzi wa kina kuhusu mkataba huo.

"Huwezi kutuita ghafla kwamba njoo kesho, uje utoe maoni kwa kitu ambacho hatujakifanyia kazi, sisi sio waganga wa kienyeji" Harold Sungusia amesema.

Pia soma: Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
Ngoja tuonee...
 
Kuna wajinga au watu wenye masilahiahil binafsi ya kudivert hoja ya msingi kwa petty issues. Tukubali Watanganyika ni makondoo hata akichaguliwa mmoja wetu kumtolea Mungu sadaka Mungu hataikubali. Kondoo unachinjwa Wala hutetei maisha yako?
 
Wawe na adabu na waganga wa Kienyeji.

Hiyo lugha yenye tone ya dharau Kwa waganga wa Kienyeji ianze kukoma.

Dunia nzima kuna waganga wa Kienyeji na kuna nchi "alternative medicine"inasomewa mpaka vyuoni.

Na wanatibu watu wengi wanao jiona wa maana wakiwemo wanasheria Wengi.

Atafute mifano mingine.

Mkuu nchi gani wanasomea uganga vyuoni? Nipatie hili niongeze maarifa?
 
Mkuu nchi gani uganga unasomewa mpaka vyuoni? daah na mm niongeze maarifa maana dunia hii
 
Wawe na adabu na waganga wa Kienyeji.

Hiyo lugha yenye tone ya dharau Kwa waganga wa Kienyeji ianze kukoma.

Dunia nzima kuna waganga wa Kienyeji na kuna nchi "alternative medicine"inasomewa mpaka vyuoni.

Na wanatibu watu wengi wanao jiona wa maana wakiwemo wanasheria Wengi.

Atafute mifano mingine.
Ubongo wa panzi wewe (mantid brain) kwani amedharau hapo? Mganga wa kienyeji ukimwita anapiga kazi on the spot hata dr sasa unamwita mwanasheria apitie kabrasha lenye 150 pgs halafu unamwambia a comment? Yaani wewe ni mweupee kichwani
 
Wawe na adabu na waganga wa Kienyeji.

Hiyo lugha yenye tone ya dharau Kwa waganga wa Kienyeji ianze kukoma.

Dunia nzima kuna waganga wa Kienyeji na kuna nchi "alternative medicine"inasomewa mpaka vyuoni.

Na wanatibu watu wengi wanao jiona wa maana wakiwemo wanasheria Wengi.

Atafute mifano mingine.
Hajawadharau amemaanisha waganga wa kienyeji ndo huwa wanaweza attend jambo kuwa zuri au baya bila kuwaandaa .yaani unapewa taarifa kesho unafukuzwa kazi unaibuka kwa mganga sa nane usiku .anashusha dua asubuhi unaenda kupandishwa cheo.Mm sijawahi enda kwa mganja ila mwaka 2012 nikiwa kamapuni ya mafuta walikuja wakaguzi ghafla kutukagua walipiga kazi mpaka saa 6 usiku wakatupa hoja 8 za kiukaguzi tujibu kesho yake tu kesho kutwa ziko mezani mwa tajiri wetu dar .tulisomq tukaona hakuna ya kupangua au zinahitaji muda sana kupangua maana tulikuwa sio sisi tulioiba .basi usiku tukazama kwa mganja n'a kondoo 2 kasoma dua huku anachinja wale kondoo damu anatupaka asee kesho yake jamaa wameamka kutuomba usafiri warudi dar tukawapa na hatukuwahi hojiwa mahali
 
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyia (TLS) Harold Sungusia amesema Chama hicho hakijaenda kutoa maoni kuhusu sakata la Bandari linaloendelea sasa kutokana na ufinyu wa muda waliopewa wa kujikusanya, kupanga mipango na kuandaa uchambuzi wa kina kuhusu mkataba huo.

"Huwezi kutuita ghafla kwamba njoo kesho, uje utoe maoni kwa kitu ambacho hatujakifanyia kazi, sisi sio waganga wa kienyeji" Harold Sungusia amesema.

Pia soma: Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
Hii ni aibu Kwa wataakamu wetu,iweje Hadi Leo awe hajasoma Mkataba huu ambao ndio agenda ya nchi Kwa sasa na Kwa kuzingatia watanzania tunadhania TLS ni wabobezi ktk Sheria hivyo wangeza kutuonesha madhaifu au mazuri na namna ya kuboresha mkataba!

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Kwa haya mambo yanavyoendelea hao waarabu wasijefanya tu kama walivyofanya nchi nyingine
 
Back
Top Bottom