Rais Samia Suluhu hana upinzani,akiamua kugombea urais 2025

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,180
2,870
Atateuliwa na Chama chake,na atachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo,kama political analysis,we can safely say Samia Suluhu atakuwa rais mpaka 2030.

Kwa sababu huyu ni rais amefanya vizuri,better than expected.

Hana upinzani katika Chama. Na katika kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya Uchaguzi,there just is not time enough to undermine a president.

Lakini zinaweza kutokea contigencies:kwa mfano Rais alikuwa Moshi kwenye jukwaa juzi anasema"I want to faint."

Au yanaweza kutokea matatizo ya geopolitics, ambapo rais anaulizwa kwa nini unawapenda wale kuliko sisi?
Kwa hiyo rais anafanya kazi nzuri. Haiwezekani kumpora madaraka.

Kwa hiyo tunapoongea kuhusu rais ajaye wa Tanzania,tunaongelea kuhusu 2030.

Wapinzani sidhani kama ni tishio kwa rais 2030. Wapinzani,so far,hawajawahi kuwa tishio kwa serikali.
 
Back
Top Bottom