Rais Samia, Mauaji ya Mushi, Tafadhali Chukua Hatua Mapema Dhidi ya Uovu wa Polisi.

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,881
41,966
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:

1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?

2) Au ndani ya Jeshi la Polisi kuna majambazi na maharamia waliofanywa kuwa sehemu ya Jeshi la Polisi?

3) Nani anafaidika na ujambazi na uharamia unaofanywa na jeshi la polisi au wale waliopo ndani ya Jeshi la Polisi?

4) Nani anawajibika na uharamia unaofanywa na Jeshi la Polisi?

Hakika kuna mambo mengi ya hovyo ambayo kamwe jeshi la polisi kamwe hawakustahili kuhusishwa nayo, lakini Jeshi la Polisi la Tanzania linayaonea fahari:

1) Polisi kuhusishwa na mauaji ya watu waliopo mikononi mwao, iwe kweli ni watuhumiwa au wahanga tu wa uovu wa polisi, ni mengi, yapo tunayoyajua na mengine hatuyajui. Hata Rais Samia aliwahi kukemea uovu huu wa Polisi (japo yeye hakustahili kukemea bali alitakiwa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya uovu huu wa polisi). Jeshi la polisi limekuwa kama mfugo usio na mchungaji, unaofanya chochote unachotaka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi na wananchi.

2) Katika mashindano ya uhalifu wa kudai na kupokea rushwa, karibia kila mwaka kwenye taarifa ile ya taasisi zinazoongoza kwa rushwa, Jeshi la polisi huwa namba 1. Kama jeshi la polisi linakuwa kinara katika uovu, hii kweli ni taasisi ya kusimamia sheria au taasisi ya kulinda na kueneza uovu?

3) Jeshi la polisi kwa uthibitisho ulio wazi kabisa, ni taasisi iliyojipambanua kuwa ni taasisi ya watu waongo, waonevu, na wanaolinda uovu. Walipomwua Mwanahabari Mwangosi, walikataa kuhusika na wakadai kuwa alidondokewa na kitu kizito. Wakaumbuliwa na picha za video. Walipowaua wafanyabiashara wa madini waliotoka Morogoro, wakadai kuwa eti ni majambazi, na walikufa wakati wa zoezi la kurushiana risasi. Uchunguzi ulithibitisha kuwa polisi waliwapora marehemu pesa zao na kisha kuwaua.

4) Leo kuna habari ya kijana Mushi kuuawa na polisi, kama kawaida yao ya kuulinda uovu unaotendwa na polisi, kamanda wao bila hata ya kufanya uchunguzi, ameamua kuwalinda watuhumiwa kwa kuwatisha watoa habari na kisha kuwakamata ili kuwaziba midomo.

MH. RAIS SAMIA:

Jeshi la polisi lina historia mbaya na chafu, hawawezi kuaminika. Tunaomba, haraka sana, unda kamati huru ya majaji na wanasheria wanaoaminika kulichunguza tukio la mauaji ya kijana Mushi.

Kwenye tukio hili, jeshi la polisi ni mtuhumiwa namba moja. Wakati uchunguzi unafanyika watuhumiwa muhimu waondolewe kwenye nafasi zao mara moja kupisha uchunguzi. Mtuhumiwa namba moja ni Kamanda Muliro, na wengine ni viongozi ambako mwili wa marehemu ulipatikana.

Rais Samia usipochukua hatua, utaunganishwa katika uovu huu wa polisi kwa sababu wewe kama Amiri Jeshi Mkuu, ndiye msimamizi mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.

WANANCHI

Wananchi tusikubali kuwa wanyonge dhidi ya uovu unaofanywa na jeshi la polisi. Kama Rais hatachukua hatua, yaitishwe maandamano ya umma dhidi ya utendaji wa hovyo wa polisi, na usimamizi mbaya wa taasisi hii iliyostahili kuwa msaada kwa usalama wa wananchi lakini imegeuka kuwa taasisi hatarishi kwa usalama wa umma.
 
Tanzania nchi ya amani na demokrasia!

Amani bandia.

Nchi ambayo jeshi la Polisi linaua watu iliotakiwa kuwalinda, unawezaje kusema ina amani?

Mwakajuzi kule Lindi kijana, ndugu wa PM aliuawa na polisi majambazi na kisha kupora pesa yake. Bila shaka kwa vile kijana aliyeuawa alikuwa ni jamaa wa PM ndiyo maana wale polisi wapo ndani mpaka leo.
 
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:

1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?

2) Au ndani ya Jeshi la Polisi kuna majambazi na maharamia waliofanywa kuwa sehemu ya Jeshi la Polisi?

3) Nani anafaidika na ujambazi na uharamia unaofanywa na jeshi la polisi au wale waliopo ndani ya Jeshi la Polisi?

4) Nani anawajibika na uharamia unaofanywa na Jeshi la Polisi?

Hakika kuna mambo mengi ya hovyo ambayo kamwe jeshi la polisi kamwe hawakustahili kuhusishwa nayo, lakini Jeshi la Polisi la Tanzania linayaonea fahari:

1) Polisi kuhusishwa na mauaji ya watu waliopo mikononi mwao, iwe kweli ni watuhumiwa au wahanga tu wa uovu wa polisi, ni mengi, yapo tunayoyajua na mengine hatuyajui. Hata Rais Samia aliwahi kukemea uovu huu wa Polisi (japo yeye hakustahili kukemea bali alitakiwa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya uovu huu wa polisi). Jeshi la polisi limekuwa kama mfugo usio na mchungaji, unaofanya chochote unachotaka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi na wananchi.

2) Katika mashindano ya uhalifu wa kudai na kupokea rushwa, karibia kila mwaka kwenye taarifa ile ya taasisi zinazoongoza kwa rushwa, Jeshi la polisi huwa namba 1. Kama jeshi la polisi linakuwa kinara katika uovu, hii kweli ni taasisi ya kusimamia sheria au taasisi ya kulinda na kueneza uovu?

3) Jeshi la polisi kwa uthibitisho ulio wazi kabisa, ni taasisi iliyojipambanua kuwa ni taasisi ya watu waongo, waonevu, na wanaolinda uovu. Walipomwua Mwanahabari Mwangosi, walikataa kuhusika na wakadai kuwa alidondokewa na kitu kizito. Wakaumbuliwa na picha za video. Walipowaua wafanyabiashara wa madini waliotoka Morogoro, wakadai kuwa eti ni majambazi, na walikufa wakati wa zoezi la kurushiana risasi. Uchunguzi ulithibitisha kuwa polisi waliwapora marehemu pesa zao na kisha kuwaua.

4) Leo kuna habari ya kijana Mushi kuuawa na polisi, kama kawaida yao ya kuulinda uovu unaotendwa na polisi, kamanda wao bila hata ya kufanya uchunguzi, ameamua kuwalinda watuhumiwa kwa kuwatisha watoa habari na kisha kuwakamata ili kuwaziba midomo.

MH. RAIS SAMIA:

Jeshi la polisi lina historia mbaya na chafu, hawawezi kuaminika. Tunaomba, haraka sana, unda kamati huru ya majaji na wanasheria wanaoaminika kulichunguza tukio la mauaji ya kijana Mushi.

Kwenye tukio hili, jeshi la polisi ni mtuhumiwa namba moja. Wakati uchunguzi unafanyika watuhumiwa muhimu waondolewe kwenye nafasi zao mara moja kupisha uchunguzi. Mtuhumiwa namba moja ni Kamanda Muliro, na wengine ni viongozi ambako mwili wa marehemu ulipatikana.

Rais Samia usipochukua hatua, utaunganishwa katika uovu huu wa polisi kwa sababu wewe kama Amiri Jeshi Mkuu, ndiye msimamizi mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.

WANANCHI

Wananchi tusikubali kuwa wanyonge dhidi ya uovu unaofanywa na jeshi la polisi. Kama Rais hatachukua hatua, yaitishwe maandamano ya umma dhidi ya utendaji wa hovyo wa polisi, na usimamizi mbaya wa taasisi hii iliyostahili kuwa msaada kwa usalama wa wananchi lakini imegeuka kuwa taasisi hatarishi kwa usalama wa umma.
Nakumbuka mwaka jana, wakati naishi Tunduru, kuna tukio moja la kushangaza lilitokea pale. Kijana mmoja, alikamatwa na Polisi, kwa tuhuma za kumuibia huyo police nguo zake. Huyu, police alikodi boda na kuondoka na huyo kijana, kwa madai kwamba, anampeleka kituoni. Cha kushangaza, alikwenda nae nje ya, mji na wakashirikiana na huyo boda kumnyonga na kumuua.
 
Nina maoni tofauti kidogo...

Mauaji yanayohusishwa na polisi hayajaanza na huyu Mushi...

Ni kwanini vijana wa Chadema mmeonekana active kwenye kifo hiki kuliko vingine?

Hamuoni kama hii ni double standard? na itasababisha watanzania wajiepushe na harakati zenu...

Maana kumbe inaonekana kuna wengine hawahusiki na utetezi wenu ila hawa Wachagga pekee!

Hiki chama bhana...
 
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:

1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?

2) Au ndani ya Jeshi la Polisi kuna majambazi na maharamia waliofanywa kuwa sehemu ya Jeshi la Polisi?

3) Nani anafaidika na ujambazi na uharamia unaofanywa na jeshi la polisi au wale waliopo ndani ya Jeshi la Polisi?

4) Nani anawajibika na uharamia unaofanywa na Jeshi la Polisi?

Hakika kuna mambo mengi ya hovyo ambayo kamwe jeshi la polisi kamwe hawakustahili kuhusishwa nayo, lakini Jeshi la Polisi la Tanzania linayaonea fahari:

1) Polisi kuhusishwa na mauaji ya watu waliopo mikononi mwao, iwe kweli ni watuhumiwa au wahanga tu wa uovu wa polisi, ni mengi, yapo tunayoyajua na mengine hatuyajui. Hata Rais Samia aliwahi kukemea uovu huu wa Polisi (japo yeye hakustahili kukemea bali alitakiwa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya uovu huu wa polisi). Jeshi la polisi limekuwa kama mfugo usio na mchungaji, unaofanya chochote unachotaka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi na wananchi.

2) Katika mashindano ya uhalifu wa kudai na kupokea rushwa, karibia kila mwaka kwenye taarifa ile ya taasisi zinazoongoza kwa rushwa, Jeshi la polisi huwa namba 1. Kama jeshi la polisi linakuwa kinara katika uovu, hii kweli ni taasisi ya kusimamia sheria au taasisi ya kulinda na kueneza uovu?

3) Jeshi la polisi kwa uthibitisho ulio wazi kabisa, ni taasisi iliyojipambanua kuwa ni taasisi ya watu waongo, waonevu, na wanaolinda uovu. Walipomwua Mwanahabari Mwangosi, walikataa kuhusika na wakadai kuwa alidondokewa na kitu kizito. Wakaumbuliwa na picha za video. Walipowaua wafanyabiashara wa madini waliotoka Morogoro, wakadai kuwa eti ni majambazi, na walikufa wakati wa zoezi la kurushiana risasi. Uchunguzi ulithibitisha kuwa polisi waliwapora marehemu pesa zao na kisha kuwaua.

4) Leo kuna habari ya kijana Mushi kuuawa na polisi, kama kawaida yao ya kuulinda uovu unaotendwa na polisi, kamanda wao bila hata ya kufanya uchunguzi, ameamua kuwalinda watuhumiwa kwa kuwatisha watoa habari na kisha kuwakamata ili kuwaziba midomo.

MH. RAIS SAMIA:

Jeshi la polisi lina historia mbaya na chafu, hawawezi kuaminika. Tunaomba, haraka sana, unda kamati huru ya majaji na wanasheria wanaoaminika kulichunguza tukio la mauaji ya kijana Mushi.

Kwenye tukio hili, jeshi la polisi ni mtuhumiwa namba moja. Wakati uchunguzi unafanyika watuhumiwa muhimu waondolewe kwenye nafasi zao mara moja kupisha uchunguzi. Mtuhumiwa namba moja ni Kamanda Muliro, na wengine ni viongozi ambako mwili wa marehemu ulipatikana.

Rais Samia usipochukua hatua, utaunganishwa katika uovu huu wa polisi kwa sababu wewe kama Amiri Jeshi Mkuu, ndiye msimamizi mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.

WANANCHI

Wananchi tusikubali kuwa wanyonge dhidi ya uovu unaofanywa na jeshi la polisi. Kama Rais hatachukua hatua, yaitishwe maandamano ya umma dhidi ya utendaji wa hovyo wa polisi, na usimamizi mbaya wa taasisi hii iliyostahili kuwa msaada kwa usalama wa wananchi lakini imegeuka kuwa taasisi hatarishi kwa usalama wa umma.
Polisi ni kazi ya laani. Tumuombe mama alifute jeshi la polisi ili taifa lisiendelee kuingia kwenye laana. Ndio maana nchi haisongi mbele kimaendelea, inawezekana ni kwa sababu ya laana za kipolisi.
 
BINTI AKWILINA ALIPOPIGWA RUSASI KAMANDA MAMBOSASA ALIKIRI POLISI WAKE ALIFYATUA RISASI LAKINI KWA UONGO HUO HUO KESI WAKAPEWA VIONGOZI WA CHADEMA AMBAO HATA FIMBO AU PANGA HAWAKUWA NAVYO SIKU YA TUKIO
 
Back
Top Bottom