Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,237
4,765
Wadau hamjamboni nyote?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.

1714064076705.jpg
 
MASWALI
1. Je, kila mara Rais anapofanya kikao cha baraza la mawaziri huwa umma tunapewa taarifa rasmi?

2. Je, serikali inawajibika kila wakati kutupa taarifa za uwepo wa kikao cha baraza la mawaziri kila kinapoitishwa?

3. Nini mantiki au umuhimu wa sisi watanzania kutangaziwa kuwepo kwa kikao cha baraza la mawaziri ikiwa kikao hicho ni utendaji wa kawaida wa serikali na ni kikao cha siri (ndani)?
 
Athari zitokanazo na mvua , ni kubwa Sana zitapunguza maendeleo Kwa Wana Nchi 🇹🇿.

Watumie Maarifa sahihi na busara kuweza kukabiliana na tatizo hili.

Huko rufuji inazama kwenye maji, rufuji inaenda kuangamia kabisa
 
Hivi hapo si wapo wanaotuhumiwa kuwalipa wamtukanao mwenyekiti wa baraza?
Tunaambiwa siri zote za nchi ndio ziko hapo, jee kama hilo alilosema Makonda lipo hapo kutakuwa na baraza lenye siri za nchi kweli au kijiweni tuu?
Utata wa kile alichosema Makonda, ambaye ni mteuliwa nafasi ya juu kinaonyesha utata uliopo kwenye utendaji wa serikali yetu maana kumbe wapo ila hawaaminiani au wanahujumiana.
 
Back
Top Bottom