Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

Wengine wamefungwa na mizimu au wameoa majini, ishu zingine zinahitaji maombi...
 
Huyu Katambi so ndo juzi alijidai kutaka kutoa orodha ya wabunge wanaochukua wanaochukua machangu kumbe hajaoa nae huwa anaenda kuchukua machangudoa mpaka anawajua wenzake wanaokutana kwa machangudoa.
Ulishaona kwenye orodha ya wapiga kelele darasani jina la monita wa darasa likawemo, kwa hiyo usishangae kwenye hiyo orodha ya wanunua machangudoa hapo dodoma jina la katambi likakosekana, pamoja na kutokuwa na mke...
 
Mkurugenzi wa jiji hajaoa. Na ana kazi zaidi ya miaka 5.

Mtu anatoka huko amevimbiwa na ugali maharage na nyege mshindo anaoa anazaa halafu hana hata mia ya kulisha mke wala mtoto anaanza kusumbua watu.
 
Back
Top Bottom