Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 736
Si mchezo mheshimiwa yuko fiti kwa kweli.
Last edited by a moderator:
Hapo wewe ukitembea kila siku asubuhi utaambiwa unapenda kuzurura zurura asubuhi asubuhi lakini mwenzako ni zoezinilidhani ange-troti!
Inaelekea yule Rais wa Ujerumani kamwachia somo la kutosha.Mbona amna king'ora sasa kinachopita
Inaelekea yule Rais wa Ujerumani kamwachia somo la kutosha.
Si unajua yule Presidaa wa Ujerumani yupo simple sana?
Ameenda Zenj kwa boti ya mwendo kasi, akashuka kutoka kwenye meli na kupigiwa mizinga 21 ya kijeshi kwa heshima yake pale pale bandarini, tofauti na waheshimiwa marais wenzake ambao huwa wanapigiwa mizinga hiyo, wanaposhuka kwenye madege yao ya kifahari kule airport.
Vile vile aliamua kupeana mikono na wananchi wa huko, wakati akipita njiani kuelekea kwenye hoteli aliyokuwa amefikia, umbali wa kilomita kama moja hivi toka hapo bandarini.
Inaelekea JK naye ameamua kuachana na utaratibu wa walinzi wake wa kumpa ulinzi wa 'kufa mtu' hata pale anapofanya jogging!
Mbona amna king'ora sasa kinachopita
Ila kulikuwa na magari mawili nyuma moja mbele.
Si mchezo mheshimiwa yuko fiti kwa kweli.
Si mchezo mheshimiwa yuko fiti kwa kweli.
Kuwa body guard shida sana. Unafanyishwa mazoezi kilazima.
ahahahaha unapewa na kesi ya uzembe na uzururajiHapo wewe ukitembea kila siku asubuhi utaambiwa unapenda kuzurura zurura asubuhi asubuhi lakini mwenzako ni zoezi