Radiocalls Zinazotumia Technology Ya GSM /LTE /4G/3G/2G

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,622
12,779
Faida ya hizi Radiocalls :
1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero.
2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu zinatumia network za kampuni za simu. Unaweza kuwasiliana toka mkoa hadi mkoa.
3.Matumizi ya data kwa mwezi ni kidogo sana. Chini ya 300Mb kwa mwezi.
4.Bei zake ni rahisi sana.
5.Zinaweza tumiwa na makampuni ya ulinzi, polisi wa barabarani, vituo vya polisi.,Magodauni, Magari yanayosafiri umbali mrefu.
WhatsApp :+255 759 965 348
Email address :mwiruge43@gmail.com
 
Hili ni Tangazo, Taarifa auni nini? Hebu eleweka. Ziko wapi na kwa bei gani? Vibali vyake vikoje? Weka nyama hii thread
 
Hili ni Tangazo, Taarifa auni nini? Hebu eleweka. Ziko wapi na kwa bei gani? Vibali vyake vikoje? Weka nyama hii thread
Zipo approved na mamlaka husika, TCRA. Huna haja ya kupata frequency, sababu zinatumia networks za Cellular operators.
 
Faida ya hizi Radiocalls :
1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero.
2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu zinatumia network za kampuni za simu. Unaweza kuwasiliana toka mkoa hadi mkoa.
3.Matumizi ya data kwa mwezi ni kidogo sana. Chini ya 300Mb kwa mwezi.
4.Bei zake ni rahisi sana.
5.Zinaweza tumiwa na makampuni ya ulinzi, polisi wa barabarani, vituo vya polisi.,Magodauni, Magari yanayosafiri umbali mrefu.
Hizi lazima ziwe rahisi kuingiliwa mawasiliano yake
 
Sehemu ambayo hamna coverage ya mobile network?

Issue ya interference inakuwaje? Maana kama inatumia availabble infrastructure maana yake pia inatumia same frequency (co-channel)
 
Sehemu ambayo hamna coverage ya mobile network?

Issue ya interference inakuwaje? Maana kama inatumia availabble infrastructure maana yake pia inatumia same frequency (co-channel)
Nimetumia network ya Halotel inapatikana maeneo mengi sana remote areas/vijijini ndani kabisa . Kwa wateja wa hizi Radiocalls Tafadhali nicheki kwenye simu.
Zinatumia networks za Cellular operators kwa ajili ya signal tu. Kila group ya radio linakuwa na platform yake Hakuna interference Kati ya group na group.
Kwa mawasiliano zaidi :
Mobile /WhatsApp :+255 759 965 348
Email address :mwiruge43@gmail.com
 
Weka public mkuu hii kutuita whatsapp imekaaa sivyo uliweka tangazo public pia na details zingine weka huku.
Unatuvutia maji madogo?
 
Back
Top Bottom