Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze

Preta mtoto wa Arusha njoo hapa Tengeru, achana na ma-Vampire yatakunyonya damu bure. Tena fimbo ya mbali haiui nyoka, jamaa yupo huko Lindi. Achana nae.;)
sasa jomba si unyoroshe maneno?...aje Tengeru sehemu gani...au gesti gani!
Mtoto hana shida huyo!...kwa maelezo zaidi tuwasiliane kama vp nikufikishie mzigo hadi chumbani!
 
Yani ni kama vile umeamua kutoa mkeka nje upumzike na mkeo af unakuta majirani wamekaa wanasukana na kupiga story. . . Ndo kilichotokea kwenye uzi wangu...

Msiniulize nakaa wapi maana huo mfano wa mkeka kuna mijitu inajifanya inaishi uzunguni itaanza debate
 
sasa jomba si unyoroshe maneno?...aje Tengeru sehemu gani...au gesti gani!
Mtoto hana shida huyo!...kwa maelezo zaidi tuwasiliane kama vp nikufikishie mzigo hadi chumbani!
Haa haah, we jamaa unapenda sana ushenga. Kwangu washenga hawana nafasi, mambo yote namaliza mwenyewe. Maelezo mengine tutapeana mim na Preta, nyie vijana wa mererani hamchelewi kuchomoa mapaja ya kuku mkifumania.
 
Watu mna ukorofi sana eeeh......

Achana nao my love,

Sasa Preta ujue mi nakuonaga sku nyingi tu humu,

Nakuzimia balaa, huwezi kushinda njaa, njoo nkupe chapaa, uwaringishie kitaa

Jina lako ni tam, mpaka napata ham, ya kukuomba utam, mpk nikutoe dam

(hapo kwenye dam natania tu)

Nikubali uwe wangu, uwe mwandani wangu, mtamu kama changu, njoo uchezee rungu

Nipe hambalulu, isiwe inaua kama ya lulu, nikujengee hekalu, ule ugali na nswalu

Pretaaaaa oooooh pretaaaaa nipe hambaluluuuu

Preta ooooh Pretaaa nihurumieeeee
 
Daaaahhhh....
We jamaa nimekukubali aseee....
Wewe hakyamama uko serious kabisa, nimegundua hutanii..
Labda nikuulize swali...Hambalulu ninini?....na Nswalu ninini?..Ni hayo tu, ukinijibu nahamia upande wako kumsaundisha Preta!!:D:D:D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom