Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Please send your C.V to the following email address: careers@precisionairtz.com
http://www.precisionairtz.com/careeropportunities.asp
Please send your C.V to the following email address: careers@precisionairtz.com
http://www.precisionairtz.com/careeropportunities.asp
Napata wasiwasi na ufahamu wako wa juu dunia inayokwenda!!!!Tatizo la hao watu ni moja Kuna watu wana Qualification zingine hazi toshi laki kazi wanaiweze angalia IT wengi kama wanajua Oracle Database ni mashirika mangapi yanatumia iyo System ya Oracle Database.
Yaaani ukiangalia watu wanaotoa matangazo ya kazi utacheka kweli mfano wana mtaka Accountant mwenye CPA hebu niwaulize, Institute Of Accountant nchi kwetu wengi wao ni Advance Diploma in Accounts, Post Graduate CPA ni yakuhesabu humu nchi ila kazi zilivyotapakaaaa kwa magazeti zahitaji wenye CPA teh teh inashangaza sana.
CPA yenyewe wahasibu wetu wanavyo ipigia story kuwa huwa wengi wanakamatwa na kuifanikisha iyo either uache kazi ukasome na huku mfadhili huna jamani. Same to IT mtu ana degree ati mpeleke kazini akakutane na mtu ana Advance deploma ya IT anamtoa jasho mwene hito Degree yake hajui kictu na vyou vinavyotoa IT Courses vyakuhesabu Centers za kufanyia mitihani ya Microsoft zenywe ziko Dar tu jamani hapotunajiangamiza au kudanganyana na huko mikoani kama mwanza mbeya Kigoma hata kama kuna kazi na mtu ana degree haendi uta mkuta mtu ana Advance deploma ya IT wakati kazi ilimtaka mtu wa Degreeee
Tatizo la hao watu ni moja Kuna watu wana Qualification zingine hazi toshi laki kazi wanaiweze angalia IT wengi kama wanajua Oracle Database ni mashirika mangapi yanatumia iyo System ya Oracle Database.
Yaaani ukiangalia watu wanaotoa matangazo ya kazi utacheka kweli mfano wana mtaka Accountant mwenye CPA hebu niwaulize, Institute Of Accountant nchi kwetu wengi wao ni Advance Diploma in Accounts, Post Graduate CPA ni yakuhesabu humu nchi ila kazi zilivyotapakaaaa kwa magazeti zahitaji wenye CPA teh teh inashangaza sana.
CPA yenyewe wahasibu wetu wanavyo ipigia story kuwa huwa wengi wanakamatwa na kuifanikisha iyo either uache kazi ukasome na huku mfadhili huna jamani. Same to IT mtu ana degree ati mpeleke kazini akakutane na mtu ana Advance deploma ya IT anamtoa jasho mwene hito Degree yake hajui kictu na vyou vinavyotoa IT Courses vyakuhesabu Centers za kufanyia mitihani ya Microsoft zenywe ziko Dar tu jamani hapotunajiangamiza au kudanganyana na huko mikoani kama mwanza mbeya Kigoma hata kama kuna kazi na mtu ana degree haendi uta mkuta mtu ana Advance deploma ya IT wakati kazi ilimtaka mtu wa Degreeee
tehe tehe man mentality mbaya sana hiyo......IT is all about development dude sio uwe na masters li degree lako lakini huwezi ku deliver mambo.....ninachojua kwa TZ kuna mambo kibao kwenye sekta ya IT ni useless katika IT.....Same to IT mtu ana degree ati mpeleke kazini akakutane na mtu ana Advance deploma ya IT anamtoa jasho mwene hito Degree yake hajui kictu na vyou vinavyotoa IT Courses vyakuhesabu Centers za kufanyia mitihani ya Microsoft zenywe ziko Dar tu jamani hapotunajiangamiza au kudanganyana na huko mikoani kama mwanza mbeya Kigoma hata kama kuna kazi na mtu ana degree haendi uta mkuta mtu ana Advance deploma ya IT wakati kazi ilimtaka mtu wa Degreeee
Yah man sikuwa nimeiona hii.....kuna jamaa ana OCP DBA hana pa kuifanyia kazi sana sana ana istall antivirus na kufanya kaz ndogo ndogo ambazo sio level yake......Tatizo la hao watu ni moja Kuna watu wana Qualification zingine hazi toshi laki kazi wanaiweze angalia IT wengi kama wanajua Oracle Database ni mashirika mangapi yanatumia iyo System ya Oracle Database.