Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,686
- 13,057
Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya umeme kutatizika, shughuli za uzalishaji, biashara na huduma za usafirishaji kuzorota pakubwa ni miongoni mwa changamoto chache kati ya nyingi mazopitia na zinazonifanya kuwaonea huruma na kuwapa pole nyingi sana....
yawezekana kuna zaid madhara ya haya niloyasema. Nawaombea Baraka na Neema za Mungu ziambatane na kuandamana nanyi nyote Daima mnapokabiliana na athari za mafuriko yanayotokana na mvua hizo kubwa 🐒
Zaid sana nawapa pole na kuwaombea nusra, waTanzania wa maeneo mbalimbali nchini, ambako pia, mvua ni nyingi na athari za mafuriko ni kubwa mathalani huko ufiji, Mbeya, Arusha, Manyara, Morogoro n.k
Mwenyezi Mungu Awape Nguvu, Maarifa na Ustahimilivu Wa Kulishi Jaribu Hilo Zito.