Peter Msechu: Nilizimia siku 3 baada ya kupaliwa na wali maharage

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,517
3,735
"Shout out kwa Mloganzila sana. Unajua watu kufuatilia unene wangu ni kwa sababu ya stori za puto zilipoanza kuna siku niliwahi kuzimia siku 3 kwa sababu tu nilipaliwa wali.

Chakula changu pendwa ni wali maharage na mimi kipindi cha nyuma nilikuwa sijui kushiba. Nimefundishwa kushiba na watu wa lishe wa Mloganzila. Ilikuwa nikiweka hotpot kushiba kwangu ni uondoe hotpot au umeme ukatike nishindwe jinsi ya kula.

Nilikula wali maharage mpaka ikawa shida kulala, nikalala hata kuota sioti nilipokuja kushtuka niko hospitali maana nilipaliwa usiku mke wangu anahangaika maharage yanatokea puani wali unatoka mdomoni" - Msanii @peter_msechu
1713428681033.jpg
mswch
 
Aendelee kutuchekesha tutamkumbuka kwa ucheshi wake, tukiwa tunajisevia kwenye bufee lake
 
"Shout out kwa Mloganzila sana. Unajua watu kufuatilia unene wangu ni kwa sababu ya stori za puto zilipoanza kuna siku niliwahi kuzimia siku 3 kwa sababu tu nilipaliwa wali.

Chakula changu pendwa ni wali maharage na mimi kipindi cha nyuma nilikuwa sijui kushiba. Nimefundishwa kushiba na watu wa lishe wa Mloganzila. Ilikuwa nikiweka hotpot kushiba kwangu ni uondoe hotpot au umeme ukatike nishindwe jinsi ya kula.

Nilikula wali maharage mpaka ikawa shida kulala, nikalala hata kuota sioti nilipokuja kushtuka niko hospitali maana nilipaliwa usiku mke wangu anahangaika maharage yanatokea puani wali unatoka mdomoni" - Msanii @peter_msechu
View attachment 2967150 mswch
Hebu tueleze, kwanini haukufa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom