Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,316
- 33,951
Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki.
Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe?
Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba?
Anyway wajuvi najua mtakuja kujimwambafy hapa kuhusu nani mmiliki wa internet lakini mkae mkijua swala la mtandao kuyumba mchi nzima kama taifa tumetia aibu.