Paulo Kagame Anaipapasa DRC Atakavyo.USA,France na British Wanaishia Kulaumu ila Hawana Cha Kufanya.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,536
51,383
Rwanda Kupitia bwana Paulo Kagame imeendelea kuipapasa na kuiparura DRC Kwa namna tofauti ikiwemo kufanya Mauaji ya kiholela,kuteka Miji na Vijiji na kupora Mali Kupitia tawi la M23 lakini wababe wa Dunia wakiobhizwa na US wameishia kulaumu huku Wakiwa wanaogopa Rwanda.

View: https://twitter.com/VOAAfrica/status/1786840358531518541?t=lsQYNLfYMUZBrGQr6kt37Q&s=19

My Take
Kagame ameikuza Rwanda na kuwa Nchi mahiri ya kimedani kiasi kwamba Kila Jeshi linalotunwa Mashariki ya Congo huingia na wasiwasi.

Way forward

1.Labda wawa train wanajeshi wa DRC na kuwapa silaha ndio wapambane na hao M23/Rwanda ambao wamezoea hayo mazingira.

2.Waombe Msaada kwa Russia/Wegner kama Burkinabe,Niger,Mali nk.

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1786801126752264685?t=om1lU3fJTtgcP3U4glm25w&s=19
 
Way forward labda wawa train wanajeshi wa DRC na kuwapa silaha ndio wapambane na hao M23/Rwanda ambao wamezoea hayo mazingira.

Hapo ngoja mrusi apeleke Wagner ili Congo ikae sawa. Uone huyo mnafiki USA atakavyojamba jamba maana anaunga mkono ufedhuli wa Rwanda dhidi ya DRC ila anajifanya kusikitika kinafiki.
 
Inamaana hao DRC Wameshindwa kabisa kwenda kujibebisha Kwa Russia? Ngoja Waendelee kushughulikiwa Hadi akili zimkae sawa.

Au inawezekana hata Rais wa DRC ni kibaraka wa Rwanda maana hai make sense wenzie kina Niger,Burkinabe,Mali etc wamekimbilia Russia kuomba Msaada ila yeye amekauka.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1786644303613161652?t=xfVeLJXTsmpqvNfujNK1Yw&s=19
 
ukiwa mtamu sana utaliwa.

ukijifanya nyasi Utaliwa pia.

vita ya scarce resources haijawahi angalia Ethics and morality.

keep going Kp..
 
Rwanda Kupitia bwana Paulo Kagame imeendelea kuipapasa na kuiparura DRC Kwa namna tofauti ikiwemo kufanya Mauaji ya kiholela,kuteka Miji na Vijiji na kupora Mali Kupitia tawi la M23 lakini wababe wa Dunia wakiobhizwa na US wameishia kulaumu huku Wakiwa wanaogopa Rwanda.

View: https://twitter.com/VOAAfrica/status/1786840358531518541?t=lsQYNLfYMUZBrGQr6kt37Q&s=19

My Take
Kagame ameikuza Rwanda na kuwa Nchi mahiri ya kimedani kiasi kwamba Kila Jeshi linalotunwa Mashariki ya Congo huingia na wasiwasi.

Way forward

1.Labda wawa train wanajeshi wa DRC na kuwapa silaha ndio wapambane na hao M23/Rwanda ambao wamezoea hayo mazingira.

2.Waombe Msaada kwa Russia/Wegner kama Burkinabe,Niger,Mali nk.

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1786801126752264685?t=om1lU3fJTtgcP3U4glm25w&s=19

Uhalifu wa kivita huu...
 
Back
Top Bottom