econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,258
- 22,420
Mkuu kulalamika inakuja Kama last resort. Kama haki yako inaminywa na umefuata all due process. Wananchi wengi wanakimbilia kwa Makonda kwasababu haki zao zinaminywa.Watu wameanza kulalamika leo? Mbona wakati wa Magufuli ndiyo ilikuwa ni kilele cha malalamiko? Makonda kaanza kusikiliza malalamiko leo? Huoni kuwa sisi matapeli tunaendelea kudunda huku ninyi wajinga mkipigwa ''mental masterbation''?