Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda vs Chawas again.
Ukiona hivi, kuna mjadala wanataka kuufunika.
iu
 
Makonda hana tofauti na hao anaowataja ndiyo maana wenzake wanambadilikia kwa kujiona yeye ni msafi
 
Sifa kubwa ya mwanasiasa ni kuwa na uwezo wa kutunga na kubuni sera nzuri bila kusahau kuwa na ushawishi au umaarufu kwa watu, sera nzuri peke yake haitoshi.

Si mtazami makonda kama mwanasiasa bali namtazama kama mwanasaikolojia wa siasa na kijana anayetafuta ridhiki ili ajikimu kimaisha, Licha ya kutokea ktk familia masikini na skendo alizopitia huyu mwamba ila bado anapambana na hakauki midomoni mwa watu kwa kuja na style ndogo ndogo ambazo wengi huziona za kijinga ila ndizo zinazompa umaarufu na kumfanya apate trend
GridArt_20240426_105535359.jpg


Mwaka 2015 wakati Raisi Magufuli kachukua nchi alitamka kuwa ktk orodha yake ya wakuu wa mikoa itakayotoka mtu pekee ambaye tayari ananafasi kwenye mkeka ni Paul Makonda.

Huyu ndiye mwamba pekee anaeweza kumuweka raisi yeyote close akawa kama mshikaji wake licha ya kuwa na cheo kidogo. Wengi mtachukulia poa lakini ni kazi ngumu sana.

Huyu ndiye mtu pekee Tanzania mwenye uwezo wa kiutrend mwaka mzima.

Yeye siku zote huanzisha trend na ni mjanja mjanja sana anawazidi wanasiasa wengi sana hapo CCM

Mnaikumbuka kauli yake ya juzi kwa raisi samia kuhusu mawaziri wanaolipa watu wamchafue taisi mtandaoni kuwa anawajua na ayawatataja na kuwaonya waache! Ile ni mbinu ya kivita ya kumuweka close mama, wazungu wanasema The enemy of your enemy is your friend

wanasiasa wasaka fursa mnachakujifunza kwa Makonda yule ni mwanasaikolojia wa siasa hawezi kulala njaa mjini.
 
Hashauriki.
Vipi kuhusu Shaka Hamdu Shaka ma Bi. Sophia Mjema nao hawakukaa muda mrefu kwenye nafasi ya uenezi. Una lolote la kuwasemea?

Jokate Mwengelo amedumu kama katibu wa UWT taifa miezi miwili tu. Je una chochote cha kuchambua?
Wote hao wanachaguliwa kwa staili zisizofaa na wanaondoka kwa staili hizo hizo.
 
Kuwa na akili, staha, hekima na murua hakujawahi kumuangusha mtu vilevile kukosekana kwavyo hakujawahi kumtukuzisha mtu
 
Sifa kubwa ya mwanasiasa ni kuwa na uwezo wa kutunga na kubuni sera nzuri bila kusahau kuwa na ushawishi au umaarufu kwa watu, sera nzuri peke yake haitoshi.

Si mtazami makonda kama mwanasiasa bali namtazama kama mwanasaikolojia wa siasa na kijana anayetafuta ridhiki ili ajikimu kimaisha, Licha ya kutokea ktk familia masikini na skendo alizopitia huyu mwamba ila bado anapambana na hakauki midomoni mwa watu kwa kuja na style ndogo ndogo ambazo wengi huziona za kijinga ila ndizo zinazompa umaarufu na kumfanya apate trendView attachment 2974302

Mwaka 2015 wakati Raisi Magufuli kachukua nchi alitamka kuwa ktk orodha yake ya wakuu wa mikoa itakayotoka mtu pekee ambaye tayari ananafasi kwenye mkeka ni Paul Makonda,

Huyu ndiye mwamba pekee anaeweza kumuweka raisi yeyote close akawa kama mshikaji wake licha ya kuwa na cheo kidogo. Wengi mtachukulia poa lakini ni kazi ngumu sana,

Huyu ndiye mtu pekee Tanzania mwenye uwezo wa kiutrend mwaka mzima.

Yeye siku zote huanzisha trend na ni mjanja mjanja sana anawazidi wanasiasa wengi sana hapo CCM

Mnaikumbuka kauli yake ya juzi kwa raisi samia kuhusu mawaziri wanaolipa watu wamchafue taisi mtandaoni kuwa anawajua na ayawatataja na kuwaonya waache! Ile ni mbinu ya kivita ya kumuweka close mama, wazungu wanasema The enemy of your enemy is your friend

wanasiasa wasaka fursa mnachakujifunza kwa Makonda yule ni mwanasaikolojia wa siasa hawezi kulala njaa mjini
Makonda yuko nchi ya wajinga. Nchi ya wajinga ina kawaida ya kuona yule aliye mjinga zaidi ndiye kiongozi wao mzuri.
 
Huyo jamaa, hata Marekani wamempiga marufuku kuingia nchini mwao, Kwa kuwa WANAZO taarifa za kiintelejensia kuwa anawanyima wananchi wake haki yao ya kuishi!
Kwani Marekani ni mbinguni?
Asipokwenda Marekani atapungukiwa na nini?
Waafrika ifike wakati tuwe na AKILI timamu.
 
Back
Top Bottom