Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 28,006
- 35,560
Ccm acheni kutufanya Watz wajinga.Paul makonda lazima alikwea kizimba. Wengi hatujui nini kinahojiwaga na muhojiwa anapaswa kutwii vipi. Ila kwa Paul lazima atakuwa na kujiona ni mteule.
Kiufupi ajitathimini sio kila nyakati unapaswa kufanya kila kitu.
Nahisi saa 3 za mahojiano alipata kibano kwa maneno na kuona anaweza akafanya apendavyo.
Binafsi sion kama anafanya sawa au sisawa ila ana hulka ambayo sidhani kama ataicha... tabia zingine ni za kuzaliwa nazo. Huwez tegemea mtu akaiacha kirahisi.
Kimsingi tume ilipaswa kumuita tangu alivyoanza kuwapigia simu mawaziri.....
Moja wa mawaziri aliowapigia simu hadharani akitoa oda ni Mama wa afya bi Ummy...Huyu wa ardhi jamaa wa ukonga. Na baadhi wachache aliowamudu. Hakuweza kumpigia mH waziri mkuu na makamu mzee mpango. Ila nahisi alitamani apande juu juu zaidi yao.wote isipokuwa Mama pekee.
Kwa hiyo siamini kuwa atakuja badilika japo masaa aliyowekwa si kitu chepesi. Alitoka jasho