Pastor Daniel Mgogo: Hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, mtu akinywea zote nyie shida yenu nini?

kanderema

Member
Apr 26, 2024
14
16
Akili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.

=====

Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.

Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!

Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!

Mambo ya pesa huwa yanafikirisha Sana kiukweli.

Kuna watu wamekaa bungeni zaidi ya miaka kumi Ila bado ni masikini ikifika kipindi cha uchaguzi huwa wanateseka Sana kupata hela za kuendesha kampeni.

Kulewa pombe
Starehe za ngono na kuhonga haya mambo yanawatesa Sana watanzania .

Kikokotoo :- somehow kinasaidia kuondoa broke na stress muhimu waangalie namna bora ya kuwapa Elimu wastaafu .

Nimetazama Hotel ya sugu Mbeya na amekaa bungeni miaka kumi tu na kuna mbunge mmoja analalamika kuwa sugu kwanini hakuwapa Mbinu za kutoboa.

Elimu ya fedha muhimu Sana
Kuwa na vision muhimu
 
Akili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.

=====

Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.

Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!

Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!

View attachment 2984481
keshashiba sadaka
 
Viongozi wetu wana dharau sana na kuwaona wastaafu ni watu wa hovyo na tusiokuwa na akili!
Kama Msukuma, kibajaj na wabunge wa viti maalumu tena wengi wasiojua kusoma vzr wanapewa fedha zao zote inakuwaje staff wanaojitambua kuliko wabunge wengi mnawapangia?!!
 
Mbona wale wendawazimu waliojazana pale bungeni wanapewa pesa zao zote mapema kabisa 🤔🤔 na wale ndio wazee wa anasa kupita kiasi kwamba za kwao haziishi🤔🤔Huo ni mradi wa serikali ya ccm kupiga hela za wastahafu kiujanja kwa mlango wa uani
 
Akili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.

=====

Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.

Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!

Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!

View attachment 2984481
Balaaa
Wahenga
CHUMA HUNOA CHUMA
 
Yeye anakula na kunywa sadaka, hajui mateso ya wastaafu, anatamani wapewe zote ili wampelekee yeye ajijengee ufalme
 
Back
Top Bottom