P Diddy Anyang'anywa Mwaliko wa MET GALA 2024

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
86
102
Rapa Na Mfanyabiashara kutoka Marekani Sean “Diddy” Anadaiwa kuwa hatopokea Mualiko Wa kuhudhuria katika Onesho Kubwa La Mavazi Na Mitindo linalofahamika Kama "Met Gala"

Taarifa hizi ni baada ya rapa huyo kuwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono na tuhuma uuzaji wa madawa ya kulevya dhidi yake. Huku akiwa chini ya uchunguzi wa tuhuma hizo.

Onesho La Met Gala Hufanyika Mei mwanzoni kila mwaka nchini Marekani katika jiji la New York. Na Mwaka Huu Onesho Hilo linatajariwa kufanyika tarehe 6 Mei. Diddy amekuwa akihudhuria onesho hilo kwa miaka kadhaa iliyopita akiwa katika orodha ya kwanza ya wasanii.
==================
Sean "Diddy" Combs is reportedly not likely to get an invitation to the 2024 Met Gala, per a new report.
As per insiders, Diddy’s several lawsuits, including a federal sex trafficking investigation, rape allegations have led to his being shunned by the industry.
"Now he finds himself grappling not only with the preservation of his reputation, but also with the loss of his standing within an industry that has unequivocally distanced itself from him,” the source told the National Enquirer.
The HipHop icon has maintained his innocence in all cases against him, including a rape and assault allegation from his ex-girlfriend Casandra "Cassie" Ventura.
The Met Gala snub isn’t the only snub Diddy has received from a big Hollywood event amid the ongoing lawsuits. The music mogul’s 2024 Grammy Awards invitation was also being evaluated and was ultimately not sent.
A rep told Radar Online in December 2023, "We are taking this matter very seriously and we are in the process of evaluating it with the time and care that it deserves."
Meanwhile, Diddy’s two homes in Miami and Los Angeles were recently raided by homeland security. Since the raids, the Coming Home crooner has made a few public appearance where he looked unbothered and cheerful.
SOURCE: GEO NEWS
 
ivi

iv huko almost sehem.kubw c n freemasons, so mbn kama wanafanyiana hiyana ivi au kuna wengne hawajihushi na iman izo.
 
Diddy saizi anatamani hata yeye atoe tigo ilikuzima soo lakini wapi
 
Back
Top Bottom