OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 429
- Thread starter
- #21
Mtoa uzi ongeza fred
mkuu ndo nani huyu mkuu,japo mi siyo niliye leta thread
Mtoa uzi ongeza fred
asante kwa swali zuri .
Jadili mada hilo la kwenda wapi anzisha topic mpya
Ajadili mada ambayo haijakamilika! Ulitakiwa kueleza huyo anayerithiwa anakwenda wapi au nini kimetokea then ukaendelea na list yako ya warithi.
Acha uwoga, mada umeleta wewe halafu unaogopa kukosolewa! Usipaniki jikaze. Yaani mpaka unatoka nje ya mada unaleta neno ushuzi wakati halipo kwenye mada yako mwenyewe halafu sijui unajisahau unaniambia tena mimi nirudi kwenye mada, mbona majanga!Huo ni mtizamo wako,hiv wewe ni professional kwny mambo ya habari au ni ushuzi tu unaleta?rudi kwenye mada acha kufanya editing ambazo hazipo othrwz tafuta shughuli nyingine ya kufanya.
Upo sahihi kabisa maana huwezi potea kwakua hujui unapokwenda.
Halafu kama ni kutumwa mbona kasahau alichotumwa kaleta vitu nusunusu halafu tunamkumbusha arudi akakamilishe anapaniki!Huyu ametumwa hana lolote
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Angalieni na shule zao je zinaweza kuwafanya wateuliwe kuwa mawaziri??au ndo za kuishia kwenye ubunge tu
Upo sahihi kabisa maana huwezi potea kwakua hujui unapokwenda.
Wana jf hatimaye Fukuto la kisiasa wilayani monduli limezidi kupanda,ikumbukwe kuwa wiki hii karibu nzma kumekua na uzi tofauti tofauti zilizokuwa zinazungumzia siasa za monduli na ni nani hasa atakaye vaa au mwenye uwezo wa kuvivaa viatu vya mzee lowassa,wengi wametajwa kutaka kuvaa viatu vya lowassa,isipokuw wasiwas wngu hawa wanaotajwa ni kwa namna wanakubalika monduli,najua kweny hii list wapo watendaji wazuri ila sasa niwalete kwenu wana jf muwezee kuwachambua mmoja baada ya mwingne,
1.Namelock Sokoine(mbunge viti maalum)
2.Paulo Kiteleki(katibu tarafa makuyuni)
3.Loata Sanare
4.Emmanuel ole Naiko(mkurugenzi mstaafu TIC)
5.Izack joseph kadogoo(diwani monduli mjini)
hii ndo list ambayo mpaka sahv iko masikion mwa wananchi wa monduli sasa tuchambue kwa umakini jazba,matusi,wivu,tuweke pemben,nawasilisha.
Pengine Pamela, Who knows
mkuu hapo umemsahau kijana machachali na msomi anaemalizia shahada yake ya kwanza kijana
domminic Ole lenga,
I know he is the man of ction indeed japo waweza kuwa umemwacha kwa kuwa hayumo kwenye mtandao wa fisadi Lowassa na hamnyenyekei huyo Mmeru waliobaki wote vibaraka wansubiri kumwomba ruhusa kugombea ubunge ama nafasi yoyote ile kisiasa.
Kwa kura za nani?Quite correct
nani huyo?Mkuu sasa hapo kuna mtu unamwondoa automatically kwenye list kwa kigezo hicho.
Nani anawajua hao mambulula wa monduli sasa?
mkuu hapo umemsahau kijana machachali na msomi anaemalizia shahada yake ya kwanza kijana
domminic Ole lenga,
I know he is the man of ction indeed japo waweza kuwa umemwacha kwa kuwa hayumo kwenye mtandao wa fisadi Lowassa na hamnyenyekei huyo Mmeru waliobaki wote vibaraka wansubiri kumwomba ruhusa kugombea ubunge ama nafasi yoyote ile kisiasa.