Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Ndugu mnaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,
Tumezoea humu JF raia wakitoa ushuhuda juu ya dawa fulani kuwa imemsaidia kuponya matatizo yake na kushauri na wengine kwenda kuinunua hiyo dawa.
Mimi ni mhanga wa vidonda vya tumbo. Juzi nilienda hospitali kwenda kucheki maendeleo ya ugonjwa wangu. Daktari akanipa Omeplazole nitumie mwezi mzima na Panadol.
Nikamuuliza daktari kwanini asiniandikie Heligo Kit?
Daktari akanijibu Heligo Kit ni dawa ambayo ni kali sana na hutumika kutibu vidonda vya tumbo kama tatizo limefikia stage ya mwisho, na pia ina madhara makubwa sana ya kiafya hasa kama utaitumia bila kujua vidonda vina ukubwa kiasi gani tumboni.
Hivyo tunashauriwa kabla ya kununua dawa, ni lazima upate ushauri kwa daktari.