Ongezeko Vituo vya DIALYSIS

Muwe makini na biashara ktk tiba. Madaktari waliopo hospitali za umma ndiyo hao hao wanaofanya kazi kama part-time huko kwenye hospitali binafsi ama hivyo vituo vya dialysis.

Unaweza kuwa kwenye stage ambayo inaweza kushughulikiwa kwa kupewa dawa lkn ukaambiwa kafanye dialysis ili tu wapate kazi ya kufanya huko kwenye vituo.

Wakati kiuhalisia dialysis ni last resort.

Huko nyuma kulizuka mtindo wa kila mgonjwa akienda hospitali binafsi anaandikiwa akapimwe typhoid .Dak 5 unaletewa majibu kuwa una typhoid. Wakati vipimo vya typhoid vinahitaji kifanyiwa culturing. Kumbe ilikuwa ni biashara.

Sasa hivi kuna wimbi la biashara kwenye UTI.

Nchi Ina laana hii.
 
Hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa. Uuzaji wa dawa kama biashara tena inayolipa ni changamoto. Siku zote mfanyabiashara anataka auze zaidi kupata faida kubwa.
Dawa kwa wingi zinawiana na figo kuharibika na mahitaji ya machine za kusafisha damu.
 
Back
Top Bottom