Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

Kwa hiyo kiingereza ndio shida, jaribu kumuuliza mwenzako nini maana ya neno Emasculated kisha utuambie kama ni shoga. Mue watu wanaopenda kujifunza kuliko kukaa tu na stori za vijiweni.

Kwanza jifunze nini maana ya neno eunuch
 
Kwa hiyo kiingereza ndio shida, jaribu kumuuliza mwenzako nini maana ya neno Emasculated kisha utuambie kama ni shoga. Mue watu wanaopenda kujifunza kuliko kukaa tu na stori za vijiweni.

deutoronomy 23:1

1 "No one whose testicles are crushed or whose male organ is cut off shall enter the assembly of the LORD. 2 "No one born of a forbidden union may enter the assembly of the LORD. Even to the tenth generation, none of his descendants may enter the assembly of the LORD.
 
Kwa hiyo kiingereza ndio shida, jaribu kumuuliza mwenzako nini maana ya neno Emasculated kisha utuambie kama ni shoga. Mue watu wanaopenda kujifunza kuliko kukaa tu na stori za vijiweni.

King James Version

23 He that is wounded in the stones, or hath his privy member cut off, shall not enter into the congregation of the Lord.
 
deutoronomy 23:1

1 "No one whose testicles are crushed or whose male organ is cut off shall enter the assembly of the LORD. 2 "No one born of a forbidden union may enter the assembly of the LORD. Even to the tenth generation, none of his descendants may enter the assembly of the LORD.
Sasa hiyo inahusiana nini na ushoga. Watu kujifunza kiingereza hamtaki halafu mnakuwa wabishi.
 
Hamas ushahidi wa kubaka haukupatikana na Israel aliambiwa athibitishe akaingia mitini.
Usijumlishe watu wote kisa WaOman wanafany ushenzi.
Mbona Qatar na falme za kiarabu watu wanaishi vizuri kwa hizo kazi za ndani?
Hiyo dini yenu ni ushetani usiostahili kutetewa.
 
Hiyo dini yenu ni ushetani usiostahili kutetewa.
Unaongea uhemko pasi na vithibitisho.
Unaweza ukaleta ushahidi wa unayoyaongea??
Wakristo UK wanafunga ndoa kanisani za kufilana,je ukristu umeruhusu ushoga??
Jua kutofautisha sheria za dini na hurka ya mtu.
Kuna uislam TURKIYE,QATAR,DUBAI,AZERBAIJAN,BOSNIA nenda tembelea hizo nchi uone watu walivyostaarabika.
Tusiende mbali hapa hapa Tanzania waislam wapo na wanahudumu jamii kuliko hata wakristu.
Madhalan Alhikma foundation ya Sheikh Kishki na Islamic foundation ya Morogoro ya TV imaan.
Embu nieleze ukristu una jema gani tukianza na hapa Tanzania??
 
Back
Top Bottom