Old Trafford inafuka moshi

Doto12

JF-Expert Member
Nov 2, 2023
291
583
Si muda mrefu taarifa zitatolewa juu ya madiliko makubwa kuanzia kocha hadi wachezaji. Mmiliki mwenye hisa kiduchi anasadikika kuchukia timu nzima na hasira hizo alikusanya siku alivyoona timu yake ikihangaika kuifunga tinu iliyoko mkiani ya kocha wa aliyekuwa akikipiga huko
Screenshot_20240501_140522_Chrome.jpg
man City.

Mzee huyo mwembamba na shabiki wa wekundu hao anaamibi wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza watauzwa dirisha la kiangazi isipokuwa

Kobbie mainoo
Ganacho na beki majeruhi wa kiajentina weingine wote watauzwa.

Inasadikika kwamba moshi unafuka si kwa wachezaji pekee lkn mwalimu wa timu hiyo hataendelea kukinoa kikosi hicho cha mashetani..kiongozi mmoja aliyeingia katika ngazi za utawala klabuni hapo bwana Omar berada anasadikika kufukuafukua kila eneo la Old Trafford

Bwana huyu alikuwa akitumika huko city
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom